Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Na badooooo Wacongo wote mlionao mmepigwa amini usiamini mtani, wale jamaaa akili zao wanazijua wao
Sikumbuki Kama Kuna mkongomani yoyote aliyekuja Yanga akawa na shoo mbovu. Kuanzia wakina Tambwe Leya mbaka Tuisila na Mukoko. Kwa ujumla kazi za wakongoman pale Yanga zinajieleza zenyewe wanajituma Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…