Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Hivi huyu sio kitenge anayemwaga mauno kwenye jukwaa la wananchi ?? ..
 
Koffie chalz Mopao Olomide alipokuwa akitumbuiza
 
Haji Manara bhana!!! Huwezi kuamini kama ndiyo huyu aliyekua Simba lia lia!! Eti leo kawageuka mbumbumbu fc wenzake!!!

Kweli fedha ni mwana haram!
 
MAAJABU YA DUNIA.

utambulisho wa wachezaji umeshaanza na mchezaji (Ditram Nchimbi Duma) ameshaitwa lakin shughuli imesimamishwa na Manara.
Duuh
 
Huyu Manara ana nyota kali sana, anaweza kuwa na mapungufu mengi kama inavyotakiwa na wengi, ila haiwezi kuondoa ukweli wa kwamba jamaa ana nyota kali sana.

Mentality yake ya kujikubali licha ya hali yake ulemavu, ni ishara tosha kuwa jamaa ana kitu ndani yake.
 
MAAJABU YA DUNIA.

utambulisho wa wachezaji umeshaanza na mchezaji (Ditram Nchimbi Duma) ameshaitwa lakin shughuli imesimamishwa na Manara.
Duuh
Yeye ndiye atakae watambulisha.
 
Kwahiyo Kitenge hakujua sio kazi yake kutambulisha wachezaji? Maajabu haya, tutaona bifu tu muda si mrefu
 
Huyu mwana ana nyota kali sana.
Ofcourse anajitahidi! Na kwenye unafiki na kujitoa ufahamu, nadhani hiki kijamaa kina PhD aisee!!

Yaani huwezi kuamini kama msimi ujao alikua na mbumbumbu fc!!
 
Kwahiyo Kitenge hakujua sio kazi yake kutambulisha wachezaji? Maajabu haya, tutaona bifu tu muda si mrefu
Alitaka kumkata mwana, Kitenge alitaka kuitengeneza legacy yake kwenye tamasha la Mwananchi kama jinsi ambavyo Hajji alikuwa amefanya Simba Sc.

Ujio wa Hajji na namna alivyoiteka Mwananchi day na kwa namna alivyomfunika Kitenge, utaibua bifu la chinichini na fitina nyingi kati yao.

Wanachekeana hapo ila moyoni mwao hawajawahi kuwa marafiki.
 
Ofcourse anajitahidi! Na kwenye unafiki na kujitoa ufahamu, nadhani hiki kijamaa kina PhD aisee!!

Yaani huwezi kuamini kama msimi ujao alikua na mbumbumbu fc!!
Anakwambia yeye ni professional spokesman, popote pale kwenye masilahi anafanya kazi😂😂😂.
 
Manara na mahaba kwa Fei toto
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…