Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Your browser is not able to display this video.
 
Anakwambia yeye ni professional spokesman, popote pale kwenye masilahi anafanya kazi😂😂😂.
😁😁😁 Kumchukia huyu mpuuzi ni kupoteza tu muda!! Miezi michache tu iliyopita, alikua anatukera Wananchi! Eti leo anawakera mbumbumbu wenzake!!😁😁😁

Haya ni maajabu ya dunia!!!🙉
 
You talk it all bro
 
Mida ya saa moja kamili match ya kirafiki itapigwa hapa taifa dhidi ya Zanaco

Nendeni kwenye screen zenu na vibanda umiza kushuhudia bonge moja la match na burudani kutoka kwa wachezaji wa Yanga
 
"kuna matajiri wa kweli na Matajiri wa Instagram" .. Cc manara ..
 
Aucho Khalid alikuwepo leo kwenye first eleven ya match yao ya kirafiki dhidi ya Ethiopia leo jioni
 
Matokeo ya moja moja kutoka Mkapa Stadium kukamilisha wiki ya kuambukizana COVID-19.
 
Sikumbuki Kama Kuna mkongomani yoyote aliyekuja Yanga akawa na shoo mbovu. Kuanzia wakina Tambwe Leya mbaka Tuisila na Mukoko. Kwa ujumla kazi za wakongoman pale Yanga zinajieleza zenyewe wanajituma Sana.
Kweli hata Kindoki hakuwa na shoo mbovu ni uongozi tu wa yanga ulishindwa kumudu mshahara wake mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…