Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Kwenye kikosi hiki, Djuma Shabani Makambo ni usajili bora kwa watani zangu.

Hawa ZANACO wana kikosi solid sana, wamekamilika katika kila idara hasa midfielders na beki zake na ndio kitu kinachowafanya Yanga wasionekane kutawala mpira.

Moses Phiri ni habari nyingine kabisa, hapa sidhani kama kuna yoyote atakaebisha.

NB: Watani zangu mmepata kitu mlichokikosa kwa muda mrefu kidogo katika eneo la ushambuliaji (player ambae haonekani ila anatumia vyema makosa ya team kwaadhibu).
 
Upo sahihi kabisa
 
Zawadi Mauya kama akitaka aendelee kucheza hata kama Aucho Khalid akirudi
Inabidi ajitazame upya kabisa

Wachezaji wetu wa kibongo inabidi wajitume
 
Kwenye kikosi hiki, Djuma Shabani Makambo ni usajili bora kwa watani zangu.

Hawa ZANACO wana kikosi solid sana, wamekamilika katika kila idara hasa midfielders na beki zake na ndio kitu kinachowafanya Yanga wasionekane kutawala mpira.

Moses Phiri ni habari nyingine kabisa, hapa sidhani kama kuna yoyote atakaebisha.

NB: Watani zangu mmepata kitu mlichokikosa kwa muda mrefu kidogo katika eneo la ushambuliaji (player ambae haonekani ila anatumia vyema makosa ya team kwaadhibu).
Yanga inawachezaji wazuri lakini hawana timu nzuri mpaka sasa.. hapa ndio utaona umuhimu wa mechi za kirafiki. Zanaco imekuwa na timu nzuri kuliko Yanga wanamuunganiko mzuri kitimu kwasababu wameshacheza mechi tisa za kirafiki hii ya leo ni mechi yao ya kumi.
 
Yanga inawachezaji wazuri lakini hawana timu nzuri mpaka sasa.. hapa ndio utaona umuhimu wa mechi za kirafiki. Zanazo imekuwa na timu nzuri kuliko Yanga wanamuunganiko mzuri kitimu kwasababu wameshacheza mechi tisa za kirafiki hii ya leo ni mechi yao ya kumi.
Tangu alipokuwapo Zahera hadi leo, Yanga haijawahi kuunganika, na huwa inaendelea kuutafuta muunganiko!
 
Kuna huyu dogo Mosses Phiri ana jambo lake hapa kwa Mkapa
Mark my words
 
Kwenye kikosi hiki, Djuma Shabani Makambo ni usajili bora kwa watani zangu.

Hawa ZANACO wana kikosi solid sana, wamekamilika katika kila idara hasa midfielders na beki zake na ndio kitu kinachowafanya Yanga wasionekane kutawala mpira.

Moses Phiri ni habari nyingine kabisa, hapa sidhani kama kuna yoyote atakaebisha.

NB: Watani zangu mmepata kitu mlichokikosa kwa muda mrefu kidogo katika eneo la ushambuliaji (player ambae haonekani ila anatumia vyema makosa ya team kwaadhibu).
ule msimu ambao alikuwepo yanga hivi simba ilichukua ubingwa?
 
Tangu alipokuwapo Zahera hadi leo, Yanga haijawahi kuunganika, na huwa inaendelea kuutafuta muunganiko!
kwasababu kila msimu wanasajili timu nzima, huwa siwaelewi kabisa watani, mwakan tena watasajili timu nzima sasa huo muunganiko wataupataje
 
Zawadi anazingua sana mipira anapoteza mingi.
Makambo siku zote huwa hatuangushi.
Djuma shaban huyu jamaa kwa kweli soka lake ni zaidi ya porn..
Feisal.. Anatuonesha namna kiungo ya juu inavyotakiwa kuwa..!
Huyu kipa wetu hakika tumepata. Ingekuwa shikalo lile shambulizi la jamaa lingekuwa goli
 
Dah inamana lile lisaa lizima lililopotea mda ule hawajaliona hawa jamaa mpaka dakika hii ndio waanze kugawa tuzo hii inaonyesha kuna vitu hawajajiandaa
 
vipi katika hizo tuzo na ya manara ipo kwenye list?
 
Kuna huyu dogo Mosses Phiri ana jambo lake hapa kwa Mkapa
Mark my words
Mbaya zaidi hiii timu ligi yao imesimama tangu Mwezi Juni hapo wamefanya kuitana oya oya twende Tanzania, halafu bado wanawatoa majasho watopolo
 
Huyu farid Mussa na yeye ajiangalie sana katika uchezaji wake na akumbuke nje kuna Dickson Ambundo na Deus Kaseke katika nafasi ile
 
Mbaya zaidi hiii timu ligi yao imesimama tangu Mwezi Juni hapo wamefanya kuitana oya oya twende Tanzania, halafu bado wanawatoa majasho watopolo
Hujui unachoongea wewe! Fuatilia! Jamaa wamepiga mechi nyingi sana za pre-season; mwisho last week walikuwa na mechi ya kirafiki, na wiki moja kabla ya hiyo, walikuwa pia na mechi ya kirafiki! Kwa haraka haraka hii ya leo ni karibu ya 5 kama sio zaidi
 
Back
Top Bottom