Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Nimesema muda sio mrefu hapa, mmatoa Djuma mnaweka garasa PAULO matokeo yake ZANACO sasa inapanda kwa Kasi.

Hapa bado kuna goli jingine hapa,nyinyi mnachukulia mechi kiwepesi mnafanya sub za ajabuajabua mtaaibishwa😂.
 
hahaha so wamepachika now wanasaka la kuongoza?
 
Mbumbumbu fc wamepata nguvu ya kuchonga ngenga!!! Wamesahau hapa tunatest tu mitambo!!
 
Zanaco 2 Yanga 1
hahahaa makambo yuko wapi mpaka timu inafikia hatua hii?

afu manara kama kashindwa kuwa rescue kwenye hii mechi wanaingiaje imani ya kuamini maneno yake kua atawapa makombe back to back?
 
Back
Top Bottom