Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Matukio ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Mkapa katika kilele cha 'Wiki ya Mwananchi'

Hujui unachoongea wewe! Fuatilia! Jamaa wamepiga mechi nyingi sana za pre-season; mwisho last week walikuwa na mechi ya kirafiki, na wiki moja kabla ya hiyo, walikuwa pia na mechi ya kirafiki! Kwa haraka haraka hii ya leo ni karibu ya 5 kama sio zaidi
Ligi ya Zambia ilisimama tangu lini kwani? Tuanzie hapo
 
hamjifunzi kupitia makosa, mlishawahi kuwasifia kina karinyo mpaka mkawa beba lakini mwisho wake ni aibu
Duh! Kumbe unadhani Moses Phiri anayesifiwa ni mchezaji wa Yanga!!! Phiri ni striker wa Zanaco
 
ule msimu ambao alikuwepo yanga hivi simba ilichukua ubingwa?
Nilichokiandika na swali lako havihusiani kabisa. Swala la mchezaji mmoja kuwa mzuri haliingiliani kabisa na timu yake kuchukua ubingwa, ingekuwa ni hivyo kila team yenye walau mchezaji mmoja mzuri ingechukua ubingwa, sasa sijui ubingwa ungeenda kwa teams ngapi.

NB:Niikujibu swali lako, yes Simba Sc ilikuwa bingwa.
 
ok so na msimu huu anaendeleza pale pale alipoachia
 
Mmemtoa Djuma aliyekuwa anawazuia ZANACO kupanda juu alafu mmeingiza garasa PAULO, lazima mkalishe hii mechi.
 
Ligi ya Zambia ilisimama tangu lini kwani? Tuanzie hapo
Kwani nimekuambia mechi za ligi wakati nimesema wazi ni pre-season matches?! Wewe umesema "...hapo wamefanya kuitana oya oya, twende Bongo", nami ndo nimekuambia wametoka kambini, na kabla ya hii mechi, wamepiga mechi za majaribio kibao!
 
Hivi Yanga huyo Zawadi Mauya anafanya nini uwanjani mpaka Sasa, au ni kwasababu alitufunga Simba?

Mauya ni garasa.
 
Huyu farid Mussa na yeye ajiangalie sana katika uchezaji wake na akumbuke nje kuna Dickson Ambundo na Deus Kaseke katika nafasi ile
hahahahaha
yaani hilo benchi ndo unalitambia dahh

uto kweli ni uto
 
Mbona tumeishia hapa updater wetu yuko wapi, shangwe zimekata ghafla makambo hasikiki kulikoni?
 
Hivi Yanga huyo Zawadi Mauya anafanya nini uwanjani mpaka Sasa, au ni kwasababu alitufunga Simba?

Mauya ni garasa.
ikumbukwe kua wachezaji wengi wa yanga hawakua kwenye mpango wa kocha, nadhani lineup ya leo imesukwa na kina bumbuli na manara maana kocha aliomba miezi mitatu ya utulivu kuiweka timu kwenye mfumo wake ataoweza kuwamudu
 
Back
Top Bottom