Matukio ya Ushoga duniani

Mashoga mengine yanachapwa na Russia kule uwanja wa mapigano na menzie ya NATO yanahanya hanya
 
Ushoga ni kinyume cha nature ...ukiachwa human civilization inaweza kucolapse.

Hakuna scientific evidence iliyowahi kuprove Kuwa ushoga Ni 'natural phenomenon '
Hiyo civilization kaimpose Kwa familia yako , usipangie watu maisha , as long as mtu anapractice kitu kisichokuaffect , https://jamii.app/JFUserGuide off ! . Watu wanaowaonea mashoga na kuwanyanyasa nashauri itengenezwe severe punishment ili iwe fundisho Kwa wengine
 
Hii ni taarifa njema.
Huo uchafu ni kinyume na nature, mafunzo ya dini na ustaarabu wa kibinadamu na mostly ni threat to human species existence sababu ni chanzo cha extinction.
Hizo dini zilizotengenezwa na wageni na wewe uliletewa mjinga wewe ndio zinakufanya sympathise na unyama kama Huu aisee
 
Hiyo siku ya kufurahishwa bado haijafika bado ni ndoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena hapa Bongo ndo kabisaa hamna lolote. Mnajifaragua kwenye kibodi tyuuh, mbna uraiani huko wako wamejaa telee. Hamuwafanyi lolote.
 
Na tutaendelea kupinga na kuhakikisha hamtapata nafasi kwenye jamii, mkafumuane marinda huko maporini lakini sio mbele yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utapasuka kwa hasira poleeeeh, na hamna kitu unaweza fanyaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena hapa Bongo ndo kabisaa hamna lolote. Mnajifaragua kwenye kibodi tyuuh, mbna uraiani huko wako wamejaa telee. Hamuwafanyi lolote.
Umekutana nao mara ngapi kwenye vyoo vya kiume?
 
Angalia wewe usijilinganishe na cocastic maana uliumbwa kuingizwa ingawa yeye aliumbwa aingize. Anaporuhusu nchipa wa mtu umuingie hapo ndipo shida ilipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unateseka ukiwa wapi?
 
Acha uongo wako nawee, ukute ulimtamani hapooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa huru hebu sema neno, funguka baba fungukaa, acha kujibanaa, unaogopa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1 Wakorintho 6:9

[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
Angalia wewe usijilinganishe na cocastic maana uliumbwa kuingizwa ingawa yeye aliumbwa aingize. Anaporuhusu nchipa wa mtu umuingie hapo ndipo shida ilipo.
Huyo nae ndio walewale angalia avatar yake. Ndio vijana wa upinde wa mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…