Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jeshi halina na wala halitaki kabisa kujishughulisha na swala hilitukitaka kupambana na hili kwanza tufute fikra kuhusisha matukio ya aina hii na siasa
imani yangu ipo kwa vyombo vya ulinzi kikubwa ni kulisaidia jeshi
MImi naamini siku moja tu ambayo Rais Samia ataagiza vyombo vyote viwatafute na kuwashughulikia wahusika. Basi swala hilo litaisha na kusahaulika kwa miaka mingi.
Lakini imani yangu hainipi kuona mwanga huo