Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jeshi halina na wala halitaki kabisa kujishughulisha na swala hilitukitaka kupambana na hili kwanza tufute fikra kuhusisha matukio ya aina hii na siasa
imani yangu ipo kwa vyombo vya ulinzi kikubwa ni kulisaidia jeshi
Kwani huyo Mungu wanamwamini kama.yupo? Alishafutika kwenye akili zao.Sababu kuu ni pale CCM inapoamini kwamba, nchi na wananchi ni mali yao waliyopewa na Mungu, na hivyo kuamini kwamba, wanaweza kuwashurutisha kukubaliana nao tu hata kwa mambo maovu, na wakati mwingine, ccm ni kama wanaamini kuwa, Mungu amewapa Watanzania wote kuwalinda na kuwachunga hata kwa fimbo ya chuma, na ndiyo maana utakuta, watu wakihoji kwa nguvu kuhusu rasilimali za nchi, katiba na mambo ya msingi katika nchi, wanapofanya tathimini, wao huona ni kama wananyang'anywa tonge mdomoni, wao huchukua jukumu la kuanza kuwapoteza watu hao
Mauwaji na utekaji ulioendelea sana nchini, kwa nchi yenye viongozi wenye kuthamini uhai wa watu, hili lisingeendelea kama ilivyo sasa!
Uoga huo utaupata akiwa anatekwa mwanao?Uoga unatokana na kwamba ukionekana na kaujasiri hata kidogo tu unafumuliwa ubongo wazi wazi ili na wengine wakome.
Ktk.mazingira kama.haya wasiojulikana wamepata mbinu konki ya kutulemaza
HakikaTawala zinazoelekea mwishoni hufanya sana haya mambo aidha kwa kuchanganyikiwa ama kwa hofu
Elimu ya uraia itolewe kwa wananchi,Hahaha......mzee naomba nisicomment.
Elimu ya uraia itolewe kwa wananchi,Hahaha......mzee naomba nisicomment.
Tatizo hatuna bunge,yule mwovu alituachia genge vilaza wa CCM ambao utii wao ni kwa dola iliyowaweka hapo,laiti tungekuwa na bunge halisi yaani wawakilishi wa wananchi waliopelekwa hapo kwa kura wangewajibika kwa wapiga kura wao,na kwa dalili za hiki kinachoendelea kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakati tutakuwa na genge lingine la wahuni wa CCM.Kama litazungumziwa bungeni kama dharula, tatizo linaweza kuisha.
Kwenye Elimu ya uraia kenya wametupita mbali mno.Elimu ya uraia itolewe kwa wananchi,
Serikali iwe na kipao mbele juu raia wake , waone thamani ya ria wake kama nchi ya izaeli,marekani, nk Tanzania raia ni thamani ya kuku, watu wanakuwa, sekalali hachui hatua yoyote
Viongozi wote mpaka raisi inatakiwa wawe wazalendo ,matendo yao yaonekane kuwa ni wazalendo.
Viongozi wa dini wakemee matendo maovu, bila kujali nani anafanya.
Tuliwahi kuletewa uzi wa trend analysis ya matukio. Yule aliyelet huo uzi aje hapa afanye analysis yake na atupe correlation ya haya matukio. Ni muhimu Sana aje!...taasisi...
Wanajua yupo vizuri tu, ila hawatambui kama huyo Mungu, kazi ya kuhukumu ni yake yeye, wao wanaamini kuhukumu ni kazi yao na ndoyo maana wanatekaKwani huyo Mungu wanamwamini kama.yupo? Alishafutika kwenye akili zao.