A
Haiwezekani kwa sababu Picha, kwa mathias, msangani, kwa mfipa, tanita, mwendapole hadi kongowe kuna makazi mengi ya wanajeshi wanaoishi uraiani na hao wezi ni ndugu zao wanaowalea majumbani mwao.Chomeni mmoja au wawili. Mtaona.
Bora umesema wewe.Haiwezekani kwa sababu Picha, kwa mathias, msangani, kwa mfipa, tanita, mwendapole hadi kongowe kuna makazi mengi ya wanajeshi wanaoishi uraiani na hao wezi ni ndugu zao wanaowalea majumbani mwao.
Hajasema tu kingine eneo lao lina wizi mkubwa wa mita za maji na hamna kitu watafanya
Ulinzi Shirikishi umesaidia mno kuondoa uhalifu maeneo mengi.Ukiona sehemu kuna wizi wa kuvunja ujue huo mtaa kuna umwinyi na mamwinyi
Dar maeneo mengi korofi hayo mambo hayapo kwasabb ya ulinzi shirikishi na watu kuwa serious
Ndio amani ikawepo
Kwan kuwepo wajeda ndo kufanye wezi wasiibe wajeda wenyewe wanaibiwa ..usikariri maisha kijanaHaiwezekani kwa sababu Picha, kwa mathias, msangani, kwa mfipa, tanita, mwendapole hadi kongowe kuna makazi mengi ya wanajeshi wanaoishi uraiani na hao wezi ni ndugu zao wanaowalea majumbani mwao.
Hajasema tu kingine eneo lao lina wizi mkubwa wa mita za maji na hamna kitu watafanya
Dogo umekisoma ulichokiandika kabla kukipost kweli?Kwan kuwepo wajeda ndo kufanye wezi wasiibe wajeda wenyewe wanaibiwa ..usikariri maisha kijana