Matukio ya yaliyopita

Matukio ya yaliyopita

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
200
Mood naomba unipeleke kwenye jukwaa husika lkn usiutoe ili to jadili kabla hatujaufunga mwaka 2017

Humu leta tukio la aina yoyote ile iliyotikisa jamii ya kitanzania na kama itakuwa ya nje basi iwe inahusu raia wa Tanzania,, iwe ya kisiasa, michezo, musiki, et all, ulizia na wajuzi watufafanulie

Hivi wale watu waliookolewa kwenye shimo la mgodi na kuishi kwa kula mende na magome ya miti wapo wapi sasa hivi?
 
Back
Top Bottom