Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania.
Umejengwa kwenye mteremko wa mwamba juu ya Mto Ruaha Mdogo, na ni kituo kikuu cha safari kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha. Mchanganyiko wa usanifu majengo wa Kijerumani uliochakaa na ule wa Kiafrika wenye rangi angavu, huifanya Iringa kutofautiana na miji mingi ya Tanzania, huku ikiwa na historia tajiri. Ilikuwa karibu na hapa ambapo mwaka 1894, Chifu Mkwawa wa kabila la Wahehe alijenga ukuta wenye urefu wa kilomita 13 na urefu wa mita nne kwa lengo la kupambana na kuzuia ukoloni wa Wajerumani.
Majimbo ya Mkoa wa Iringa ni pamoja na; Iringa Mjini, Isimani, Kalenga, Kilolo, Mafinga Mjini, Mufindi Kaskazini na Mufindi Kusini.
SOMA PIA:
MAMLAKA ZA MIJI
Manispaa ya Iringa - Kata -18 Mitaa - 192
Mji wa Mafinga - Kata -9 Mitaa- 30 Vijiji -11 Vitongoji -50
MAMLAKA ZA WILAYA ZA MKOA WA IRINGA
1. Wilaya ya Iringa
Kata: 28
Vijiji: 134
Vitongoji: 745
2. Wilaya ya Kilolo
Kata: 24
Vijiji: 94
Vitongoji: 484
3. Wilaya ya Mufindi
Kata: 27
Vijiji: 121
Vitongoji: 561
4. Jumla Kuu
Kata: 106
Mitaa: 222
Vijiji: 360
Vitongoji: 1840
Hali ya Kisiasa
Katika mkoa wa Iringa kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi sasa Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kimechukua nafasi kubwa sana na ukitazama pia katika uchaguzi mkuu wa 2015 kati ya Majimbo 7 CCM walishinda viti 6 na CHADEMA walishinda kiti kimoja pekee.
Ambapo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ilikuwa na mitaa 181, CCM ilipata 126, CHADEMA 54 na CUF ikipata mmoja, wakati Mufindi kati ya vijiji 39, CCM ilipata 35 na CHADEMA kimoja.Halmashauri ya Kilolo ambayo katika vijiji 81, CCM ilipata 78 na CHADEMA vitatu.
Ukitazama katika uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa mwaka 2019 kwa asilimia kubwa wenyeviti wa serikali za mitaa walipita pia bila kupingwa ambapo taswira hiyo ilionekaa pia katika uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo majimbo yote katika mkoa wa Iringa yalichukuliwa na CCM.
Sasa katika kuelekea uchaguzi huu wa Serikali za mitaa tunaona au kushuhudia vyama vingine vya siasa kujipanga vyema zaidi ili kufanikisha kupata viti vya kutosha katika uchaguzi huu.
Pia, Soma:

- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Mchengerwa: Matokeo ya uchaguzi kutangazwa ndani ya saa 72
MAMLAKA ZA MIJI
Manispaa ya Iringa - Kata -18 Mitaa - 192
Mji wa Mafinga - Kata -9 Mitaa- 30 Vijiji -11 Vitongoji -50
MAMLAKA ZA WILAYA ZA MKOA WA IRINGA
1. Wilaya ya Iringa
Kata: 28
Vijiji: 134
Vitongoji: 745
2. Wilaya ya Kilolo
Kata: 24
Vijiji: 94
Vitongoji: 484
3. Wilaya ya Mufindi
Kata: 27
Vijiji: 121
Vitongoji: 561
4. Jumla Kuu
Kata: 106
Mitaa: 222
Vijiji: 360
Vitongoji: 1840
Hali ya Kisiasa
Katika mkoa wa Iringa kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi sasa Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kimechukua nafasi kubwa sana na ukitazama pia katika uchaguzi mkuu wa 2015 kati ya Majimbo 7 CCM walishinda viti 6 na CHADEMA walishinda kiti kimoja pekee.
Ambapo katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ilikuwa na mitaa 181, CCM ilipata 126, CHADEMA 54 na CUF ikipata mmoja, wakati Mufindi kati ya vijiji 39, CCM ilipata 35 na CHADEMA kimoja.Halmashauri ya Kilolo ambayo katika vijiji 81, CCM ilipata 78 na CHADEMA vitatu.
Ukitazama katika uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa mwaka 2019 kwa asilimia kubwa wenyeviti wa serikali za mitaa walipita pia bila kupingwa ambapo taswira hiyo ilionekaa pia katika uchaguzi mkuu wa 2020 ambapo majimbo yote katika mkoa wa Iringa yalichukuliwa na CCM.
Sasa katika kuelekea uchaguzi huu wa Serikali za mitaa tunaona au kushuhudia vyama vingine vya siasa kujipanga vyema zaidi ili kufanikisha kupata viti vya kutosha katika uchaguzi huu.
Pia, Soma:
- Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi
- Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?
- Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
- Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga
- Iringa: Lukuvi kutoa Tsh. 500,000 kwa kijiji kitakachoongoza kuandikisha wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa
- Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana
- Mbunge Ritta Kabati apiga magoti jukwaani akimwaga sera kwenye Kampeni kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa Iringa
- Mchungaji Peter Msigwa aichachafya CHADEMA mchana kweupe, afunguka Ugomvi uliopo kati ya Mbowe na Lissu
- Rais Samia atoa ambulance kituo cha afya, Lukuvi aikabidhi. Ni mwendo wa kujifanya mwema tu kipindi hiki!
- Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Patrick Ole Sosopi: CCM Wanalazimisha kuongoza
- Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!
- Kada wa CCM, Salim Asas: Safari hii hakuna Kituo kitakosa Sanduku la kupigia kura