LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Songwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100, ukiwa ulimegwa kutoka Mkoa wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na Mto Songwe. Makao makuu ya mkoa huu yako Vwawa.

Mkoa wa Songwe una majimbo sita (6); Momba, Tunduma, Songwe, Vwawa, Mbozi na Ileje, ambapo Jimbo la Mbozi linaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi (269,896), likifuatiwa na Jimbo la Momba (259,781). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Ileje, ambalo lina watu 125,869

Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Songwe ni 1,344,687; wanaume wakiwa 643,679 na wanawake 701,008.

Soma Pia:

Songwe.jpg

MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA SONGWE
Mkoa wa Songwe una Halmashauri tano (5), ambazo ni Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.
MAMLAKA ZA MIJI

Mji wa Tunduma
Kata: 15
Mitaa: 71

Jumla ya Mamlaka za Miji: Kata 15, Mitaa 71

SOMA PIA

MAMLAKA ZA WILAYA
Wilaya ya Ileje
Kata: 18
Vijiji: 71
Vitongoji: 316

Wilaya ya Mbozi
Kata: 29
Vijiji: 121
Vitongoji: 666

Wilaya ya Momba
Kata: 14
Vijiji: 72
Vitongoji: 295

Wilaya ya Songwe
Kata: 18
Vijiji: 43
Vitongoji: 205

Jumla ya Wilaya za Mkoa: Kata 79, Vijiji 307, Vitongoji 1,482

Kwa ujumla, Muhtasari wa Mkoa wa Songwe una Kata 94, Mitaa 71, Vijiji 307, na Vitongoji 1,482, hali inayoonesha uwiano mzuri wa maendeleo katika mkoa husika.

Pia, soma
 
Songwe mlianza vurugu mapema kuhangaika na wapinzani, huku nako mambo yatakuwa moto
 
Nipo kituo X, dsm

Nimeona mzozano flani hivi wanakuja kupiga kura sio wakazi, wanaletwa na magari kisha wanashuka mbali kidogo na kituo kisha wanakuja.
 
Back
Top Bottom