Umejitahidi lakini umekosa details za muhimu sana.
1-Pac aliuawa na serikali
2-Pac hakubakwa jela ni uzushi alioanzisha Wendy Williams.
Pac kaingia jela ni bonge la celebrity na siku album yake imeshika namba moja billboard wafungwa walikuja waki mshangilia get your own straight.
3-competition kati ya deathrow na badboy ilikua ndogo infact haiku exist mpaka early 1996
Badboy ilikua label ndogo huku hit song yake ya kwanza ikiwa Flava in ya ear ya marehemu Craig Mack
4-BIG alijikuta kwenye wrong place at a wrong time and a wrong situation.
Pac alikua anafuatiliwa na FBI na viongozi wakubwa walipinga content zilizopo kwenye lyrics zake fuatilia album ya 2pacalypse now utaelewa.
Walivyo muua wakatafuta scapegoat ambaye alikua ni BIG na aliuawa California ili ijulikane washkaji wa Tupac ndio waliofanya hilo tukio.
Hii ishu ya Pac ni complicated sana imagine serikali ilienda kumfukunyua Sadam kwenye shimo Iraq ila mpaka leo hawajui ni nani Aliye muua Pac!
Pac alikua against police brutality, government hypocrisy na alipigania haki ya mtu mweusi kwa kupitia sanaa so he was a threat na mind you ukoo wake hauna historia nzuri na serikali.
Shangazi yake Assata yupo kwenye top 10 FBI's most wanted list, mama yake alipewa makesi ya UHAINI, baba yake wa kambo mutulu ndio anaozea jela, God father wake Geronimo Prat (Jim jaga) alikuja kuishi uhamishoni Tanzania huko Arusha.
So hakua mtu mzuri mbele ya macho ya serikali.
Kosa lake kubwa alikua aki spark brains za watu weusi na wale minority waliokua wanakandamizwa na mfumo.
Government murdered Tupac.
Nyingine ni conspiracies tu.