Matukio yaliyothibitisha kwamba kwa kiwango fulani Alikiba ana tabia ya kuringa

Matukio yaliyothibitisha kwamba kwa kiwango fulani Alikiba ana tabia ya kuringa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na watu wenye busara ndani ya gari alisisitizwa afungue kioo aichukue

Tukio La pili: Jamaa alitaka kuchangamana na watu kitaa, nadhani zilikuwa ni kampeni za kukuza jina aonekane mtu wa watu, Kwenye daldala kuna waliomuomba picha wakatoka kapa

Tukio la tatu, Msibani hakutoa ushirikiano mzuri wa kusalimia na mtani wake wa jadi

Attachments

  • Rec 335.mp4
    4 MB
  • Rec 336.mp4
    2.6 MB
  • Rec 341.mp4
    5.2 MB
Ninachokiona humu watu wengi wanamsema Alikiba ili wapate wachangiaji au like kwa sana mana haiwezekani kila uzi kiba tu hata kama haumuhusu ila utaona tu mtu anaingiza jina hilo jamani bongo tuna wasanii kibao wa kuwaongelea
Fuatilia vizuri.
 
1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na watu wenye busara ndani ya gari alisisitizwa afungue kioo aichukue

View attachment 1430523

Tukio La pili: Jamaa alitaka kuchangamana na watu kitaa, nadhani zilikuwa ni kampeni za kukuza jina aonekane mtu wa watu, Kwenye daldala kuna waliomuomba picha wakatoka kapa

View attachment 1430526

Tukio la tatu, Msibani hakutoa ushirikiano mzuri wa kusalimia na mtani wake wa jadi

View attachment 1430527
Posti ya kike ki noma..sawa DIVA aka KIGAGULA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu ningundue kwamba kiba ni mwanaume wa Tanga Wala simshangai sana
Halafu jamaa anavyoringa nikajua ana hela sana kumbe poyoyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom