sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na watu wenye busara ndani ya gari alisisitizwa afungue kioo aichukue
Tukio La pili: Jamaa alitaka kuchangamana na watu kitaa, nadhani zilikuwa ni kampeni za kukuza jina aonekane mtu wa watu, Kwenye daldala kuna waliomuomba picha wakatoka kapa
Tukio la tatu, Msibani hakutoa ushirikiano mzuri wa kusalimia na mtani wake wa jadi