1. Airport - Alikiba alikuwa amaetoka kuchukua tuzo, alipofika uwanja wa ndege Harmorapa alitaka kumzawadia t shirt ila Kiba aliikataa na kufunga kioo cha gari, Ila huenda kwasababu alikuwa na watu wenye busara ndani ya gari alisisitizwa afungue kioo aichukue
Your browser is not able to display this video.
Tukio La pili: Jamaa alitaka kuchangamana na watu kitaa, nadhani zilikuwa ni kampeni za kukuza jina aonekane mtu wa watu, Kwenye daldala kuna waliomuomba picha wakatoka kapa

Tukio la tatu, Msibani hakutoa ushirikiano mzuri wa kusalimia na mtani wake wa jadi
Ninachokiona humu watu wengi wanamsema Alikiba ili wapate wachangiaji au like kwa sana mana haiwezekani kila uzi kiba tu hata kama haumuhusu ila utaona tu mtu anaingiza jina hilo jamani bongo tuna wasanii kibao wa kuwaongelea