Matukio Yanayoendelea Zanzibar: Ni Heri Katiba Itamke Serikali Moja

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
166
Reaction score
77
Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.

Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.
 
CCM hawakuwahi ona mbali..walipaswa dilute zenj long time na kuifanya nchi nzima iwe na serikali moja tuu.
 
...acha zije tatu,wakibip tunawachapa tu kama rwanda mpaka heshima irudi,hizi serikali mbili zinaondoa kuheshimiana,watu wanatuchezea mpaka masharubu bhana...! no way...
 
Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.

Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.

Alipinduliwa Mwarabu na mabwana zake wa kizungu na si rahisi mkoloni mweusi kuwa tofauti!
 
...acha zije tatu,wakibip tunawachapa tu kama rwanda mpaka heshima irudi,hizi serikali mbili zinaondoa kuheshimiana,watu wanatuchezea mpaka masharubu bhana...! no way...

Kwani wanaomwagiwa tindikali kume ni wenu? Pengine ingekuwa busara kuwaachia wenyewe nchi yao.
 
Kumbe ndio mkakati wenu?Ni mfu sana huo. Mjenge hoja ya kujitenga kuliko through terrorism activities.
 
Unapolianza inabidi liendelezwe! Tusubiri mtuchape lakini nahisi kichapo unachokizungumza ni kumtafuta Mu7?
 
Hawa jamaa wazanziba wajitenge me siwapendi eti... Wanadai tunatumia rasilimali zao zp?..karafu? Au nin mbn sielew hzi rasilimali wanazozungumzia ni zipi
 
Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.

Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.
Bora serikali Tatu na sisi waTanaganyika tupate serikali yetu.
 
watu kupigwa mabomu mikutanoni kuuliwa kinyama waandishi wa habari kuteka watu kupiga risasi wakina ponda bora muungano uvunjwe kila mtu alinde usalama wa raiya wake
 
WaZanzibari hatuutaki zamani huu Muungano ni mambo ya kulazimishana tu.
Ni bora mkaungane na Rwanda au Malawi.
 
Back
Top Bottom