SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.
Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.