SDP_TZ_Mpya
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 166
- 77
Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.
Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.
...acha zije tatu,wakibip tunawachapa tu kama rwanda mpaka heshima irudi,hizi serikali mbili zinaondoa kuheshimiana,watu wanatuchezea mpaka masharubu bhana...! no way...
Kwani wanaomwagiwa tindikali kume ni wenu? Pengine ingekuwa busara kuwaachia wenyewe nchi yao.
Kumbe ndio mkakati wenu?Ni mfu sana huo. Mjenge hoja ya kujitenga kuliko through terrorism activities.
Bora serikali Tatu na sisi waTanaganyika tupate serikali yetu.Makanisa kuchomwa moto, Padre Mushi kuuawa, Padre Mkenda kujeruhiwa kwa risasi, Padre Mwang'amba kumwagiwa tindikali, Ustaadh Soraga kumwagiwa tindikali, Sheikh kuuawa shambani, British volunteers kumwagiwa tindikali, kuchomwa kwa baa na migahawa wakati wa Ramadhan,nk.
Sasa nashawishika kuwa dawa yake ni ku-make U-turn kwa Watanganyika na kuamua sasa Katiba iseme serikali moja kwani mbili ni mzigo isiyo na faida na zinapelekea kutupiana "mpira" kwenye kushughulikia kikamilifu matatizo ya nchi.
imaginary gas!Hawa jamaa wazanziba wajitenge me siwapendi eti... Wanadai tunatumia rasilimali zao zp?..karafu? Au nin mbn sielew hzi rasilimali wanazozungumzia ni zipi