Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Marafiki wa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kutakuwa na sherehe za kufunga Sredi hii Rasmi pale Oceanic view

Waalikwa ni Infidelees na Infidelators wote!

Confirmation fanyeni kwa Aspirin!:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:

Confirmed! au nim-PM Aspirin?
 
Marafiki wa kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kutakuwa na sherehe za kufunga Sredi hii Rasmi pale Oceanic view

Waalikwa ni Infidelees na Infidelators wote!

Confirmation fanyeni kwa Aspirin!:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:

na muende na wezi wenzenu huko mkainfideliziane vizuri
 
mie sina shaka wala mtakuja kutusimulia yaliyojiri huko ocenic na after math yake (i min wen u go back to mama jr.)
 
Guud evening my dearie ! Sleep tight...........c ya on Saturday .........hoping this time you won't miss!:A S tongue:

hata leo poa tu nipo Savannah baada ya hapa..........lol!!!

anyway I wil make myself available maana niko kwenye mfungo nawaombea
 
Hivi hakuna Infidelee hata mmoja humu? Mbona hawachangii? Wananume tumejifunza nini katika Sredi hii?

Women never cheat,... they get cheated. Keep them behind bars to avoid contact with cheaters...by so doing, they can not become cheatees!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…