(((((Renegade;1018839]Wenyewe wamo humu, lakini ngoja nimwage mtama,[/COLOR]
Nilikuwa na mtu nje my waifu wangu akashtukia dili, Ilikuwa kila siku nachelewa kurudi home! napitia kona kwanza baadaye home, baada ya kushtuka nikawa napitiwa kazini tunarudi wote home. Ikawa sipati muda kabisa na mtu wangu nje, nilichofanya nikabadilisha muda wa kuondoka home asubuhi, badala ya kutoka saa 1, nikawa natoka saa 12 asubuhi. Basi dereva akawa ananifuata saa 12.huyo chapchap natoka , ananipitisha nyumba ndogo mi napoa uko mpaka saa 2 hadi 2 na nusu . Dili ika-leak, siku hiyo natoka tu home, kumbe wife naye kajiwahi yuko nyuma, ile nashuka na kuingia ndani ilikuwa balaa, kilichoniokoa ni kujificha nyuma ya mlango, na bahati nzuri siku hiyo kulikuwa na ugeni wa mdogo wake na nyumba ndogo, kilichofuata ilikuwa vurugu. Niliamua kuacha moja kwa moja.))))[/QUOTE]
Blue!!! Hili nalo neno..