comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana.
Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA WA kumsubiri RAISI, najiulza Kwa purukushani zile hawa mabinti wadogo sijui ni wanafunzi wamevaa t-shirt za CCM mmewamwaga hapa kutoka Wilaya jirani wanalala Kwa utaratbu gani? Au ndio wanapewa mafunzo ya kuanzia kudanga mapema!?
Ama Kwa hakika hii ndio nchi tajiri afrika, nikiwaza hizo NI Kodi za Raia zinaliwa tokea juzi kwenye Nyamachoma Arusha Hadi Leo Mwanga nashangaa Sana! Sidhani hata kama nchi zilizoendelea ulaya zina matumizi makubwa ya sherehe zisizo na kichwa wala miguu kama hizo! MRADI WA MAJI ni level za kuzinduliwa na mkuu WA Wilaya au mkuu WA Mkoa Rais anatakiwa maranyingine awakilishwe!
Kama wewe NI mzazi WA MWANGA,Same au Moshi Una binti yako unajua ni Mwanafunzi kabebwa na magari ya CCM kwenda kumlaki Raisi Kesho KUZINDUA MRADI WA MAJI andika maumivu, hili disco nalolisikia na hawa mabinti Leo bikra zitavunjwa sana.
Najiuliza pia hawa waliovaa t-shirt za CCM kama wanapewa posho na hizo gari zinavyomwaga watu si gharama kubwa Sana? Hivi kumbe hii nchi ni tajiri hivyo?