Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu

Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu

pombe! juzi nilitandika whisky si nikawabadirikia mabaunsa wa bar nikajiona mimi ndo ninja!! kuna watu wanajua kupiga mabanzi nyie hapo nikala na mtama mmoja tu kazi ikaisha! niliwaachia shati nikaenda zangu kulala huku nikishukuru baunsa mmoja alinibeba akanirusha nami sikuichezea nafasi nikatua kininja nikaunga mbio lkn masikioni nikiwa nasikia wiuwiuwiuwiu!..
 
Kivipi hili?
Labda nitoe mfano mmoja! Ndugu yangu mmoja katika ukoo alijiunga na dhehebu la THE POOL OF SILOAM. Kilichofuatia ni misimamo na matendo yake kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali.

Kwanza, uvaaji wake ulibadilika, akawa anavaa nguo nyeupe. Sikumbuki kama ilikuwa ni kila siku au ilikuwa siku ya ibada tu.

Pili, alibadilosha majina mpaka ya ubin wake. Jina lake jipya la ukoo likawa Eliya. Inasemekana utaratibu wa hilo dhehebu liliwataka washirika wake majina yao yaishie na Eliya.

Hayo ni machache ninayoyakumbuka.
 
Back
Top Bottom