Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu

Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu

pombe! juzi nilitandika whisky si nikawabadirikia mabaunsa wa bar nikajiona mimi ndo ninja!! kuna watu wanajua kupiga mabanzi nyie hapo nikala na mtama mmoja tu kazi ikaisha! niliwaachia shati nikaenda zangu kulala huku nikishukuru baunsa mmoja alinibeba akanirusha nami sikuichezea nafasi nikatua kininja nikaunga mbio lkn masikioni nikiwa nasikia wiuwiuwiuwiu!..
We jamaa Fala sana 😂😂😂
 
Nimewahi kuwa huko. Lile dhehebu hapana. I hope ametoka huko., la neema ya mungu itamtoa huko.
Kama hutojali, tudadavulie kidogo upekee wake!

Nilishasikia kwa baadhi ya watu kuwa ikitokea mwandoa mmoja anasali huko huweza kutenganishwa na mwenzi wake kwa kutafutiwa mwenzi mpya wa imani moja naye! Hayo na tuhuma zingine yana ukweli wowote?
 
hilo dhehebu lilimfanya mtoto wa dingi mkubwa akafa akiwa kapuku wakat kabla hajajiunga nao alikuwa mfanyabiashara mzuri tu, nyumba kadhaa njiro arusha. hotel ya nyota tatu sakina, mgodi mirerani na mundarara, ila vyote kanisa likajimilikisha chni ya mchungaj, mtoto wake wa kiume ambaye alikuwa anapambana na mchungaji juu ya mali za mama yake alikufa kifo cha utatanishi sana,
Inasikitisha sana!
 
  • Kufilisika.
  • Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
  • Kifo cha mzazi.
  • Kuvunjika moyo (heart broken).
  • Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.
Ongeza.
Kuna watu wanapatwa na hayo yote lakini bado Mungu anawainua tena.
 
Back
Top Bottom