Matukio yanayoweza kumbadilisha kabisa mtu

We jamaa Fala sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimewahi kuwa huko. Lile dhehebu hapana. I hope ametoka huko., la neema ya mungu itamtoa huko.
Kama hutojali, tudadavulie kidogo upekee wake!

Nilishasikia kwa baadhi ya watu kuwa ikitokea mwandoa mmoja anasali huko huweza kutenganishwa na mwenzi wake kwa kutafutiwa mwenzi mpya wa imani moja naye! Hayo na tuhuma zingine yana ukweli wowote?
 
Inasikitisha sana!
 
Kwa sasa nimejua ni tamu kuliko kuku...hivyo huwezi nidanganya tena yani akili imebadilika kabisa...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Nakubali ni tamu, lakini haifikii utamu wa kuku wa kienyeji!
 
  • Kufilisika.
  • Kusalitiwa na rafiki wa karibu.
  • Kifo cha mzazi.
  • Kuvunjika moyo (heart broken).
  • Pale unapogundua hakuna mtu anaekuja kukusaidia.
Ongeza.
Kuna watu wanapatwa na hayo yote lakini bado Mungu anawainua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…