Matumbo

Matumbo

Ni kawaida tu nadhani,sijui kama kuna problem.....
 
Hivi ni kwa sababu gani wanawake wengi wanakuwa na matumbo makubwa(vitambi)?takribani 70% ya wanawake wapo hivyo.

Ama kweli watu hatuna shukrani

Hivi unadhani miezi9 ulokaa tumboni ulikuwa umekaa kwenye nini?

Unategemea baada ya kutoka tumbo libaki kama lilivokuwa kabla ya huyo unae muita mwenye tumbo kubwa kukubeba?

Udhalilishaji huu
 
Hii inatokana sana sana na kupenda kujiachia hamna mazoezi na kupenda kula hovyo...!
 
my dear si wanawake tu na wanaume pia
lakini kwa sisi wanawake baada ya kujifungu
tunapata shida kuondoa tumbo la uzazi..

na matumbo makubwa yanasababishwa na
1.kutokufanya mazoezi
2. kula junk food..( Nyama Choma)
3. kunywa vinywaji vyenye sukari nyingi..( beer)
 
39876_1575336627874_1369346089_31553435_7111189_n.jpg

mnh wala hatunavyo! lol:mullet:
 
aaaaaaa,,,,kumbe!!!!!!!!!
wengi inatokea baada ya kuzaa, wanakuwa hawajatumia mikanda ya kufunga tumbo..wengine hasa wakipata operation wanashindwa kuweka mikanda kwasababu haiwezekani, hivyo tumbo lililokuwa limetanuka kwasababu ya mimba, protein zinajaza minyama na mimafuta mle ya chakula kingine...ndo kitambi kinatokea, na hakijikumwacha kama ndio hivyo...ni tatizo kubwa kwa wanawake wetu jamani...
 
Ama kweli watu hatuna shukrani

Hivi unadhani miezi9 ulokaa tumboni ulikuwa umekaa kwenye nini?

Unategemea baada ya kutoka tumbo libaki kama lilivokuwa kabla ya huyo unae muita mwenye tumbo kubwa kukubeba?

Udhalilishaji huu

sio kweli
 
Mkuu kwenu hakuna wanawake? Unamweka mama,dada,mke,binamu na ama binti yako ktk nafasi gani?
 
Michemsh na malta za bure wakiwa na ma bf wao.

SO MALTA ZA KUJINUNULIA MWENYEWE AZTOI VTAMB?
ehh jaman ili mrad tu umemshusha mwwanamke
na wanaume nao wenye vtamb wanakuwa wamekunywa TUSKER ZA KUNUNULIWA NA MAHAUSIGEL?
 
Hizo bia za bure zinapatikana wapi??

Bar, ila kumbuka kuagiza bia ya kuanzia ili iwe rahisi mtu kujua unatumia bia gani, usisahau kukaa sehemu yenye mwanga. Watanzania sisi ni wakarimu sana
 
kuna mahali nilisikia yanaitwa 'MARINGI'
 
uliza kwanza vyakula wanavyokula asilimia 70% vinakwenda wapi? kisha ipost mada hii next.





I was born with it and not without it.
 
wewe mtoa mada ulifikiria nini mpaka ukaleta mada hii...
 
Back
Top Bottom