Salam Salam Rais wa majobless promax
Ni document tofauti hizo, Affidavit inatoka kwa wakili au mahakamani, lakini deedpol inaandaliwa na wakili na kusajiliwa kabisa wizarani.Safi Nina shida kama yako
Na Mimi nilikuwa nahitaji kujua tofauti ya affidavit na deeppoll
Ngoja wenye uwelewa waje watusaidie
Salam mwanachama wa ma jobless pro maxSalam Salam Rais wa majobless promax
Unampoteza.Deedpoll inatumika kama unataka kubadilisha majina kabisa ila affidavit of names inatumika kutambua kuwa jina hilo nalo ni la mhusika
Niliongea na Wakili mmoja kumueleza kuwa majina ya vyeti vyangu vya shule ni mawili ila kwenye Nida yapo matatu pamoja na cheti cha kuzaliwaNi document tofauti hizo, Affidavit inatoka kwa wakili au mahakamani, lakini deedpol inaandaliwa na wakili na kusajiliwa kabisa wizarani.
Unataka niendelee kudumu kwenye hiki chama Cha majobless Mh Rais? Sasa Uchumi wa Tanga tutaufufua vipi?Salam mwanachama wa ma jobless pro max
Yuko sahihi, fanya kama alivyokuelekeza.Niliongea na Wakili mmoja kumueleza kuwa majina ya vyeti vyangu vya shule ni mawili ila kwenye Nida yapo matatu pamoja na cheti cha kuzaliwa
Akaniambia kuwa natakiwa kuwa deedpol ambayo wakili yeye ndiye anai draft Kisha inaenda kusajiliwa wizarani kwa gharama ya 32000.
Naona umefanana katika maelekezo yake
Sawa sawa MkuuYuko sahihi, fanya kama alivyokuelekeza.
Chama kita dumu vipi??, Kama Wana chama mna tamaa??Unataka niendelee kudumu kwenye hiki chama Cha majobless Mh Rais? Sasa Uchumi wa Tanga tutaufufua vipi?
Sina knowledge na hivi vitu mkuu.
Nimeonesha utofauti ninao ufahamu...Unampoteza.
Uchaguzi ujao natangaza Nia kama LISU ya kugombania nafasi yako mh Rais! 🤣Chama kita dumu vipi??, Kama Wana chama mna tamaa??