YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,031
- 1,940
Kwa matumizi haya na mshahara wanaonilipa na faida wanayopata, ni bora kuacha kazi nisijekufilisi biashara ya watu.
Hesabu hiyo sasa unapatView attachment 3702370
Kwa matumizi haya na mshahara wanaonilipa na faida wanayopata, ni bora kuacha kazi nisijekufilisi biashara ya watu.View attachment 3702376
Gb 98.36 ni Mb 98360 matumiziHii hesabu unamaanisha nini?
Unajaribu kusema nini mkuu?Hesabu hiyo sasa unapat
Nunua routerGb 98.36 ni Mb 98360 matumizi
mb 490 nanunua kwa tsh 1000.
98360/490= 200.7346938776
200.7346938776 x 1000= 200734.6938776
Kwa bando la bukubuku matumizi ya 98.36GB nimeumia kwa tsh 20,0734.6938776
Bei gan, faida zake?, changamoto zake?Nunua router