Matumizi haya kwa bando la bukubuku naona naelekea kufilisi biashara ya watu

YoungPastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,031
Reaction score
1,940

Kwa matumizi haya na mshahara wanaonilipa na faida wanayopata, ni bora kuacha kazi nisijekufilisi biashara ya watu.
 
Hii hesabu unamaanisha nini?
Gb 98.36 ni Mb 98360 matumizi

mb 490 nanunua kwa tsh 1000.

98360/490= 200.7346938776

200.7346938776 x 1000= 200734.6938776

Kwa bando la bukubuku matumizi ya 98.36GB nimeumia kwa tsh 20,0734.6938776
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…