pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio.
Kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo", binafsi naona siyo sawa.
Kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo", binafsi naona siyo sawa.