Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Aah wapi? Ili mradi ni kiungo pendwa kwa wanaumee basi hilo neno haliwezi kupotea.We jamaa ubongo wako una 128MB katika ishu za kuchakata mambo..
Kilichotokea hapo ni ishu za MISIMU
Maneno ambayo huzuka na kupotea..
Sasa Katika upatikanaji wa misimu ndi utajua sababu ya watu kutumia hilo neno..
Sasa wewe unaona sio sawa wakati ni neno la mda tu
Neno wowowo lina miaka zaidi ya 30 na bado linatumika
