pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Mlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio..kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo" binafsi naona siyo sawa
Mbona Tigo wamevumilia miaka karibu 20?Mlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio..kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo" binafsi naona siyo sawa
π€£π€£π€£π€£Mbona Tigo wamevumilia miaka karibu 20?
Nakuzoom tu kumbe uko humu dronedrakeWe jamaa ubongo wako una 128MB katika ishu za kuchakata mambo..
Kilichotokea hapo ni ishu za MISIMU
Maneno ambayo huzuka na kupotea..
Sasa Katika upatikanaji wa misimu ndi utajua sababu ya watu kutumia hilo neno..
Sasa wewe unaona sio sawa wakati ni neno la mda tu
Nipo nipo nimetulia tuuu πNakuzoom tu kumbe uko humu dronedrake
ni sehemu ya starehe kusoma comments yaani hii ndio sigara yanguNipo nipo nimetulia tuuu π
Ujue mkuu wewe ndiye unayelipromote hilo neno sasa!Mlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio..kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo" binafsi naona siyo sawa
Unapita kimya kimya mkuu πππππππππni sehemu ya starehe kusoma comments yaani hii ndio sigara yangu
WamejitakiaMlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio..kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo" binafsi naona siyo sawa
Umekua sir wa kiswahili dogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa ubongo wako una 128MB katika ishu za kuchakata mambo..
Kilichotokea hapo ni ishu za MISIMU
Maneno ambayo huzuka na kupotea..
Sasa Katika upatikanaji wa misimu ndi utajua sababu ya watu kutumia hilo neno..
Sasa wewe unaona sio sawa wakati ni neno la mda tu