Aah wapi? Ili mradi ni kiungo pendwa kwa wanaumee basi hilo neno haliwezi kupotea.We jamaa ubongo wako una 128MB katika ishu za kuchakata mambo..
Kilichotokea hapo ni ishu za MISIMU
Maneno ambayo huzuka na kupotea..
Sasa Katika upatikanaji wa misimu ndi utajua sababu ya watu kutumia hilo neno..
Sasa wewe unaona sio sawa wakati ni neno la mda tu
Ety kwanza nambie maana ya ndo za kikatoliki ndo nini π€π€π€ππππππππππUmekua sir wa kiswahili dogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ghaflaa sana?
Ushaanza uwaki wako, ulivyokula hela za wizoo?Ety kwanza nambie maana ya ndo za kikatoliki ndo nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wowowo lilitokana na kitu gani...Aah wapi? Ili mradi ni kiungo pendwa kwa wanaumee basi hilo neno haliwezi kupotea.
Neno wowowo lina miaka zaidi ya 30 na bado linatumika
Nielekeze kwanza....Ushaanza uwaki wako, ulivyokula hela za wizoo?
Lazima ndoa ifungwee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Mlonganzila ipo wapi?Mlonganzila ni jina la hosipitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift hii ni oparesheni maalum apewayo mtu ili kuongeza ukubwa wa makalio..kwa sasa imekuwa kila akipita mtu espeshali mwanamke mwenye kalio kubwa utasikia "cheki mlongazila hiyo" binafsi naona siyo sawa
Alubati serious kabisa kaleta na ushahidi ππππππππππππππππWowowo ilitokana na bendi ya kuitwa Mk group, kilikuwa kionjo ,wanaimba " njoo tucheze tukunyenya wowowoo"View attachment 2996037View attachment 2996037
We mqndu mwenye GB unlimited unakuja ku comment kwenye thread ya mtu mwenye insufficient bytesWe jamaa ubongo wako una 128MB katika ishu za kuchakata mambo..
Kilichotokea hapo ni ishu za MISIMU
Maneno ambayo huzuka na kupotea..
Sasa Katika upatikanaji wa misimu ndi utajua sababu ya watu kutumia hilo neno..
Sasa wewe unaona sio sawa wakati ni neno la mda tu
Ni hosipitali ambayo ni tawi la hosipitali ya taifa Muhimbili wameipa sifa mbaya maana imekuwa maarufu kama hosipitali inayo fanya oparesheni ya kuongeza makalio ....ipo maeneo ya mbezi kimara hukoHiyo Mlonganzila ipo wapi?