Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
 
Hahaha.ni mwendo wa matumishi, hukuona palikua na siku ya TRA [Miaka 30], tusubiri, TAKUKURU, POLICE, JWTZ, TBS etv..
 
Hahaha.ni mwendo wa matumishi, hukuona palikua na siku ya TRA [Miaka 30], tusubiri, TAKUKURU, POLICE, JWTZ, TBS etv..
Wakusanya Kodi wanatumia Kodi kwa nguvu Kubwa this is nonsense
 
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
Kk na ww ulie kwenye mlija wa asali unasema kweli jambo halijakupendeza hili
 
Kula kwa urefu wa kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…