Matumizi mazuri ya muda katika kufanikiwa

Chiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2008
Posts
4,116
Reaction score
4,979
si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati mwingine niandike vizuri.
muhimu ninachotaka kusema ni kwamba tunaposherehekea sikukuu zetu za kuzaliwa tunaelewa maana yake na tafsiri yake kwa maisha tunayoishi? au tunasherehekea kwa mazoea? sasa leo tuangalie kidogo ni kwajinsi gani muda au miaka yetu inaweza kuwa na mchango mkubwa kwa kufanikiwa kwetu.
kikawaida kijana anaonekana kuwa mtu mzima anapofikisha miaka 18 na katika kipindi hiki anatakiwa awe tayari amemaliza elimu ya msingi na ikiwezekana kidato cha nne.
kwa kuanzia tuangalie matukio muhimu ambayo anatakiwa kuyafanya kijana aliyeishia darasa la saba na hasa kwa wavulana kwa kuwa kwa kiasi kikubwa waschana hawana maamuzi kulingana na tamaduni zetu.
  • kati ya miaka 14-16 anatakiwa awe amemaliza darasa la saba.
  • kati ya miaka 18-21 awe ameanza kujitegemea na kipindi hiki pia anaweza kuanza kufikiria kuoa.
  • kati ya miaka 19-27 anaweza kuoa japo
  • mtoto wa kwanza akimpata akiwa na umri wa chini ya miaka 25 itapendeza na hapa iko hivi:-
    • kikawaida kijana mwenye umri huu kazi zake nyingi hutumia nguvu hivyo afikishapo umri wa miaka 45 hawezi kufanya kazi kama mwanzo uwezo wake wa uzalishaji unashuka. hivyo ni kipindi kizuri cha yeye kupunguza majukumu na kutegemea uwekezaji alioufanya akiwa kijana.
    • akimpata mtoto akiwa na umri wa miaka 25, atakuwa na umri wa miaka 20 wa kumtunza akiwa na nguvu kwakuwa
      • atahitaji miaka 7 ili mtoto aanze darasa la kwanza
      • atahitaji miaka 7 mtoto amalize elimu ya msingi
      • atahitaji miaka 4 kwa sekondari ya awali
      • atahitaji miaka 2 kwa sekondari ya kidato cha tano na sita
      • na angehitaji miaka isiyopungua 3 ili aweze kumaliza elimu ya chuo kikuu.
    • kwa hiyo mzazi anapofikisha miaka 45 mtoto wake wa kwanza anakuwa ndo kwanza yuko mwaka wa kwanza na bado anaweza kuwa na mzigo mwingine wa kusomesha huku nyuma.
    • matokeo yake uwekezaji unaweza kuwa na changamoto kwa kuwa bado anayo mengi yanayo mkabiri na kama tujuavyo watu wenye kipato cha chini hawana starehe nyingi hivyo wanajikuta kuwa na watoto wengi (japo kwa kweli napenda watoto wengi)waliopishana umri mdogo.
    • mwisho wa siku mzazi anashindwa kutegemeza familia na kuanza kumtegemea mtoto tokea mkopo wa chuo kulipia ada wadogo zake na yeye kuchelewa kumudu majukumu yake binafsi na matokeo yake umaskini unaendelea kuwazunguka.
    • wakati mwingine inafikia baba amestaafu lakini kashindwa kumalizia vyumba viwili alivyoanza kwa kiwanja alichonunua kwa kujinyima.
  • hivyo ili tuweze kuwekeza na kuingia vizuri katika biashara lazima tuwe na malengo mazuri huku tukiangalia muda wetu katika kufanikiwa. nimeeleza kwa kifupi lakini tunaweza kupata picha jinsi gani tunavyochelewa fursa zinapungua japo ipo mipango ya MUNGU anavyomfanikisha mwanadamu.
  • wakati mwingine tutaangalia kwa elimu ya kidato cha nne ,sita pamoja na chuo.
 
Asante sana ndugu mtoa mada kwa neno, somo na hiyo dawa yako. Na kwa kuongezea ongezea tu juu ya matumizi ya muda (time management) na kuweka vipaumbele maishani, kwa wale wanaopenda kusoma vitabu, nashauri watu wasome kitabu kiitwacho EAT THAT FROG cha mwandishi Brian Tracy ni kifupi, chenye kueleweka na kizuri sana.
 
si mzuri sana katika kuandika vichwa vya habari na kwa hapa naomba nikiri lile swali la kwanza enzi zetu la kiswahili nililiruka sikuwa mzuri kwa upande huo hivyo mnaweza kunisahisha ili wakati mwingine niandike vizuri.
muhimu ninachotaka kusema ni kwamba tunaposherehekea sikukuu zetu za kuzaliwa tunaelewa maana yake na tafsiri yake kwa maisha tunayoishi? au tunasherehekea kwa mazoea? sasa leo tuangalie kidogo ni kwajinsi gani muda au miaka yetu inaweza kuwa na mchango mkubwa kwa kufanikiwa kwetu.
kikawaida kijana anaonekana kuwa mtu mzima anapofikisha miaka 18 na katika kipindi hiki anatakiwa awe tayari amemaliza elimu ya msingi na ikiwezekana kidato cha nne.
kwa kuanzia tuangalie matukio muhimu ambayo anatakiwa kuyafanya kijana aliyeishia darasa la saba na hasa kwa wavulana kwa kuwa kwa kiasi kikubwa waschana hawana maamuzi kulingana na tamaduni zetu.
  • kati ya miaka 14-16 anatakiwa awe amemaliza darasa la saba.
  • kati ya miaka 18-21 awe ameanza kujitegemea na kipindi hiki pia anaweza kuanza kufikiria kuoa.
  • kati ya miaka 19-27 anaweza kuoa japo
  • mtoto wa kwanza akimpata akiwa na umri wa chini ya miaka 25 itapendeza na hapa iko hivi:-
    • kikawaida kijana mwenye umri huu kazi zake nyingi hutumia nguvu hivyo afikishapo umri wa miaka 45 hawezi kufanya kazi kama mwanzo uwezo wake wa uzalishaji unashuka. hivyo ni kipindi kizuri cha yeye kupunguza majukumu na kutegemea uwekezaji alioufanya akiwa kijana.
    • akimpata mtoto akiwa na umri wa miaka 25, atakuwa na umri wa miaka 20 wa kumtunza akiwa na nguvu kwakuwa
      • atahitaji miaka 7 ili mtoto aanze darasa la kwanza
      • atahitaji miaka 7 mtoto amalize elimu ya msingi
      • atahitaji miaka 4 kwa sekondari ya awali
      • atahitaji miaka 2 kwa sekondari ya kidato cha tano na sita
      • na angehitaji miaka isiyopungua 3 ili aweze kumaliza elimu ya chuo kikuu.
    • kwa hiyo mzazi anapofikisha miaka 45 mtoto wake wa kwanza anakuwa ndo kwanza yuko mwaka wa kwanza na bado anaweza kuwa na mzigo mwingine wa kusomesha huku nyuma.
    • matokeo yake uwekezaji unaweza kuwa na changamoto kwa kuwa bado anayo mengi yanayo mkabiri na kama tujuavyo watu wenye kipato cha chini hawana starehe nyingi hivyo wanajikuta kuwa na watoto wengi (japo kwa kweli napenda watoto wengi)waliopishana umri mdogo.
    • mwisho wa siku mzazi anashindwa kutegemeza familia na kuanza kumtegemea mtoto tokea mkopo wa chuo kulipia ada wadogo zake na yeye kuchelewa kumudu majukumu yake binafsi na matokeo yake umaskini unaendelea kuwazunguka.
    • wakati mwingine inafikia baba amestaafu lakini kashindwa kumalizia vyumba viwili alivyoanza kwa kiwanja alichonunua kwa kujinyima.
  • hivyo ili tuweze kuwekeza na kuingia vizuri katika biashara lazima tuwe na malengo mazuri huku tukiangalia muda wetu katika kufanikiwa. nimeeleza kwa kifupi lakini tunaweza kupata picha jinsi gani tunavyochelewa fursa zinapungua japo ipo mipango ya MUNGU anavyomfanikisha mwanadamu.
  • wakati mwingine tutaangalia kwa elimu ya kidato cha nne ,sita pamoja na chuo.
Hii post inawahusu kajambanani lkn haimuhusu tajiri aliyekwisha wekeza asiyetegemea ajira,..tajiri hata akipata mtoto akiwa na miaka 50 ana uhakika wa kumsomesha hata km yeye atakuwa ameondoka duniania so ni vizuri ungerekebisha hiyo heading yako,..mfano mm niko na 42yrs lkn mtoto wang wa kwanza ana miaka minne lkn sitegemei ajira km nymb nishajenga nina vitega uchumi kibao,..nadhani huu uzi unawahusu wanaotegemea mwisho wa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha sio hesabu kwamba, 2+2=4. Maisha ni a very complex matter, depend on a lot of variables. By the way, nakubaliana na wewe kwamba muda ni mali.

ni kweli lakini lazima tukumbushane kwa kuwa muda unamchangango mkubwa katika maisha yetu. mara nyingi tumeshuhudia watu wakijuta kwa kutumia muda vibaya na wengi wakilalamika.
hivyo sisi kama wanajamii hatuna budi kuwakumbusha watu nini kinaweza kufanyika katika muda gani pale inapobidi ili kupunguza changamoto zinazoweza kutokea ambazo zingezuilika kama watu wangekumbushwa.
 
ka
Hii post inawahusu kajambanani lkn haimuhusu tajiri aliyekwisha wekeza asiyetegemea ajira,..tajiri hata akipata mtoto akiwa na miaka 50 ana uhakika wa kumsomesha hata km yeye atakuwa ameondoka duniania so ni vizuri ungerekebisha hiyo heading yako,..mfano mm niko na 42yrs lkn mtoto wang wa kwanza ana miaka minne lkn sitegemei ajira km nymb nishajenga nina vitega uchumi kibao,..nadhani huu uzi unawahusu wanaotegemea mwisho wa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ilivyo kwa gazeti sio siku zote linaweza kuandika habari zinazokufurahisha na kuzipenda. ndivyo ilivyo hata huu uzi kwako unaweza kuwa haukufai lakini wapo ambao pia kwao unawafaa.lakini si swala la kajamba nani kwa kuwa maisha ni gwaride linaweza kugeuka na wa mwisho akaweza kukimbiza na wa kwanza akaanguka pia na hasa kwa nchi zetu zinazoendelea mambo mengi hayako fixed. lengo kubwa ni kuwasaidia wadogo zetu nini waache kufanya katika muda gani na nini wafanye katika muda huo. ziko familia ambazo wao wametokea tayari familia ilishawezeshwa kwa hiyo kijana anaanza maisha hana ndugu wa kusomesha na wakati mwingine amewezeshwa na familia katika kupambana na changamoto zake lakini wapo pia ambao kwa bahati waliweza kupata fursa nayo ikawasaidia kuvuka hili ni tofauti.
ikumbukwe hapa tunajaribu kumzungumzia mtu wa darasa la saba kabisa tena anayeishi mkoani (achana na dar darasa la saba tayari anaelimu ya diploma kwa kadri ya changamoto za maisha anazokabiliana nazo) hana anachokijua anaanza kazi ya ujenzi kwa kujifunza kwa fundi hakuwa na uwezo wa kupata fursa ya kwenda VETA. huyu ndo tunamzungumzia hapa.
 
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii post inawahusu kajambanani lkn haimuhusu tajiri aliyekwisha wekeza asiyetegemea ajira,..tajiri hata akipata mtoto akiwa na miaka 50 ana uhakika wa kumsomesha hata km yeye atakuwa ameondoka duniania so ni vizuri ungerekebisha hiyo heading yako,..mfano mm niko na 42yrs lkn mtoto wang wa kwanza ana miaka minne lkn sitegemei ajira km nymb nishajenga nina vitega uchumi kibao,..nadhani huu uzi unawahusu wanaotegemea mwisho wa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama bro, ukiwa na kijana yuko 30 afu mzazi uko 55+ raha sana. ASA unakuwa kikongwe mtoto bado anakutegemea.
Tunawaiga wazungu kwa mambo mengi ila la kutokuoa mapema sijui huwa tunaiga wapi. Mzungu havushi 25+.lazima awe na mchuchu maisha mafupi sana.kuzaa mapema hakuna cha kajamba nani ni muhimu kwa kila kila kiumbe.
 
Ujue post nyingi zinaonesha kutia hamasa kwa vijana ila kwa wakati huu ni vijana wachache mno wasio jishughulisha sema mzunguko wa kipato kwa kipindi hiki inabidi wakina sisi wenye roho mbaya ndo tunaendelea kupambana la sivyo unaweza act punguani ili uwe omba omba

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
mtoa uzi upo sahihi,acha kukaa bachelor kwa kuogopa changamoto ,pambana na changamoto huku ukiangalia muda wako ,Great advice mkuu
 
Back
Top Bottom