Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Hapo kwenye dushelele ndio msingi wa kila kitu.
 
asali inasaidia mtu aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo?anatumiaje
LUSA.Mimi nilifanyiwa upasuaji na kidonda kikachelewa sana kupona nikashauriwa kuwa nasafisha kidonda na eusol au hydrogen peroxide halafu unapakaza asali ktk kidonda. Mwanzo nilishangaa sana.. lakini nilipona kwa muda mfupi mno
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
Sawa mtaalamu was copy and paste, il a jitahidi uweze kutafsiri kwa kiswahili kama ulivyoandika title yako!
 
PENDELEENI KUTUMIA LIMAU,TANGAWIZI MBICHI NA KITUNGUU SAUMU HIVI VITATU VINATIBU MARADHI SUGU MWILINI.

MziziMkuu, samahani huku nilipo kuna patikana zaidi ndimu kuliko limao. Je, naweza kutumia ndimu badala ya limao ktk huo mseto??
 
je maji ya kitunguu swaumu yanayouzwa dukani yanafaa kwa kunywa kWA sababu yameandikwa ina chua maratatu
 
Dr je huo ukali ilioko katika bidhaa hizi au dawa hizi hazitamsumbua mwenye vidonda vya tumbo. je ni vipi kuhusu matumizi kwa mtoto mdogo. Je uwiano ukoje wa huo mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…