Tutafanyia kazi kaka
MziziMkavu tena naanza na mimi, hubby na bibi yangu mwenye matatizo ya figo. Vp kwa watotot ni salama?
ıtakuwa vizuri ukifanyia kazi dawa yangu pia itakusaidia mambo haya hapa chini:
ASALI (HONEY)
• Huua vijidudu
(bacteria)
• Huondoa wadudu kwenye vidonda na malengelenge
• Huondoa dalili za maumivu
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa pumu
• Hutuliza maumivu ya vidonda vya koo
• Hutuliza mishipa ya damu, humpatia mtu usingizi
• Hutoa ahueni kwa mtu anayeharisha
Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa Mke/Mume
Mtoto mdogo unaweza kumpatia Asali ila unampatia kwenye kijiko kidogo sana tofauti na mtu mzima anatakiwa atumie
kijiko kikubwa. Na Kuhusu Bibi yako ana Maradhi ya figo Mwambie atumie Dawa hii itamsaidia Achemshe Maji ya ndevu
za Mahindi kila siku awe anakunywa kikombe kimoja asubhi kabla ya kula au kunywa kitu hayo maji ya mahindi na
wakati wa usiku awe pia anakunywa hiyo dawa ya maji ya ndevu za mahindi kwa muda wa siku 30 atakuwa amekwisha
pona.Akipona bibi yako uje unipe Feedback nitakuja kumuposa bibi yako unasemaje?