Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Nhpo huku katavi nimekabidhiwa lita 5 zipo getho. Yaani naweka kwenye wali,kande,juisi,chai. Nikichoma mahindi ipo pembeni. Najipaka hadi usoni lakini haiishi tu!!. Mchana huu nimekula na karanga. Yaani natamani hadi ugali nile na hii asali!!
 
Ukitaka kuwapata Wabongo wengi watajie hapo kwenye bold nyekundu utaona hata bei ya asali kwenye soko itapanda. Maana tunapenda hiyo kitu kupita kiasi na ndio maana mabango ya waganga wa kienyeji yamekuwa yakilenga hiyo kitu.

Hapa utafanya biashara sana.

UKIZIJUWA FAIDA ZA ASALI KATIKA MWILI WAKO HUTOACHA KULA ASALI JAPO KWA SIKU

MARA MOJA VIJANA KWA WAZEE TUMIENI SANA ASALI KWA NGUVU ZA KIUME ASALI NI

DAWA MUJARUBA SANA.

Asali kama chakula na pia dawa ni dhana
kongwe katika historia ya mwanadamu. Kwa

mfano yapata miaka 4,000 (elfu nne)

iliyopita madakatari wa tiba wa Kimisri na

wale wa Sumarani waliitumia asali kutibu

magonjwa mbali mbali kama vile vidonda

vya tumnbo na vile vya kawaida, magonjwa

ya macho, ngozi na yale ya tumbo.

Historia pia imerikodi matumizi kama hayo

kwa watu wa Uchina, Ugiriki, Roma, n.k.

Hippocrates, baba wa tiba kwa nchi za

magharibi pia alitumia asali kutibu

magonjwa mbali mbali, vile vile Ibn Sina,

mfalme wa tiba kutoka katika ulimwengu wa

nchi za Kiislamu ameorodhesha faida nyingi

za matumizi ya asali, katika buku lake la tiba

maarufu "The Canon of Medicine". Miongoni

mwa faida alizotaja Ibn Sina katika buku hilo

(Misingi ya tiba) ni kuweka mwili katika hali

ya ujana, kuongeza uwezo wa kukumbuka

mambo, kuleta furaha, kusaidia usagaji wa

chakula kuongeza hamu ya kula chakula, na

kuongeza uwezo wa mtu kuzungumza vizuri.

Elimu ya Sayansi (ya kisasa) nayo

imemwezesha mwanadamu kufahamu kwa

kina ubora wa asali. Kwa mfano, tangu

mwaka 1937 wanasayansi walijua kwamba

wingi wa sukari iliyomo katika asali
(76gllooml), tindikali (acidity, Ph = 3.6-4.2),

na kuwemo kwa baadhi ya kemikali

zinazotokana na viumbe hai (Organic

Compounds). Ni sababu zinazoifanya asali

kuwa ni dawa. Yaani inaweza kuulinda mwili

usipate maradhi na pia inaweza kuviua

vijidudu vya maradhi vilivyomo ndani ya
mwili wa mgonjwa.

Zaidi ya hayo, sayansi inatujulisha kuwa,

asali inamchanganyiko wa virutubisho na

kemikali za aina mbali mbali. Baadhi ya vitu

hivyo ni sukari, vitamini, amino acids (vitu

vinavyotengeneza protini), vimeng'enyo

(enzymes), homeni (hormones).

TAFADHALI WAUZAJI WA ASALI MUSIPANDISHE BEI NINAWAOMBENI KILA M-TANZANIA

ATUMIE HIYO ASALI KWA WANAWAKE NA WANAUME TUMINI ASALI NI DAWA TOSHA KWA

AFYA ZENU.

Ukıtaka kila sıku Uume wako uwe na nguvu kula asalı kıjıko kımoja changanya na unga wa Mdalasini pamoja na Unga wa Tangawizi kavu kula kila siku asubuhi kabla ya kula kitu. Basi utakuwa na nguvu za kiume za ajabu sana kiasi cha kumfanya mpenzi wako ashangae umetumia dawa gani? kazi kwenu vijana.
 
Attachments

  • asalimdalasini.jpg
    asalimdalasini.jpg
    54.7 KB · Views: 413
  • honey.jpg
    honey.jpg
    7.6 KB · Views: 60,302
  • ASAL?.jpg
    ASAL?.jpg
    8 KB · Views: 381
Mkuu MziziMkavu, wewe ni kisima cha maarifa.Wewe sio tu ni MziziMkavu,bali pia MziziMkuu!
 
Tutafanyia kazi kaka MziziMkavu tena naanza na mimi, hubby na bibi yangu mwenye matatizo ya figo. Vp kwa watotot ni salama?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenzenu huwa nikila asali tumbo linaniumaa why??
Cc: Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Tutafanyia kazi kaka MziziMkavu tena naanza na mimi, hubby na bibi yangu mwenye matatizo ya figo. Vp kwa watotot ni salama?
ıtakuwa vizuri ukifanyia kazi dawa yangu pia itakusaidia mambo haya hapa chini:

ASALI (HONEY)
• Huua vijidudu (bacteria)
• Huondoa wadudu kwenye vidonda na malengelenge
• Huondoa dalili za maumivu
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa pumu
• Hutuliza maumivu ya vidonda vya koo
• Hutuliza mishipa ya damu, humpatia mtu usingizi
• Hutoa ahueni kwa mtu anayeharisha
Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa Mke/Mume

Mtoto mdogo unaweza kumpatia Asali ila unampatia kwenye kijiko kidogo sana tofauti na mtu mzima anatakiwa atumie

kijiko kikubwa. Na Kuhusu Bibi yako ana Maradhi ya figo Mwambie atumie Dawa hii itamsaidia Achemshe Maji ya ndevu

za Mahindi kila siku awe anakunywa kikombe kimoja asubhi kabla ya kula au kunywa kitu hayo maji ya mahindi na

wakati wa usiku awe pia anakunywa hiyo dawa ya maji ya ndevu za mahindi kwa muda wa siku 30 atakuwa amekwisha

pona.Akipona bibi yako uje unipe Feedback nitakuja kumuposa bibi yako unasemaje?
 
Nisahihi huwa nachanganya maji ya moto +asali+tangawizi + mdarasini? Au nivizuri kuitumia bila kuichanganya na maji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nisahihi huwa nachanganya maji ya moto +asali+tangawizi + mdarasini? Au nivizuri kuitumia bila kuichanganya na maji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndio Sahihi kuchanganya Maji ya Moto na Asali na Tangawizi na Mdalasini unatibu maradhi mengi tu mwilini mwako mkuu.
 
Nataka kufaham utafiti umefanyia nchi gani, sample size na methodology gani ulitumia ..je data ulianalyze kwa kutumia software gani..?? au kwa kifupi nataka kujua kama umesha publish utafiti wako kwenye journal au link yoyote..by the way hongera kwa utafiti na nitafurahi kama uta respond na maswali awali..!

Kakwambia amefanya mwenyewe tatizo lqko ni kukalili misamiati ua research na unadhani kila mtu lazima atumie njia ulizo fundishwa wewe kwq elimu ya wazungu
 
Acha propoganda wewe, yeye mwenyewe kaelewa nilikua namaanisha nini ndo mana katoa like...kugundua kitu lazima kuwe na steps and it is should be shared worldwide c o uchawi kushare knowledge na kama ume copy na ku paste somewhere u have to acknowledge source to avoid plagiarism..Nakushauri bichwa lako litumie kudadisi na kuhoji mambo au rudi dalasani kama vipi!
Kakwambia amefanya mwenyewe tatizo lqko ni kukalili misamiati ua research na unadhani kila mtu lazima atumie njia ulizo fundishwa wewe kwq elimu ya wazungu
 
Acha kukariri elimu ya madesa kugundua kitu, mara nyingi huwa hakuna steps haswa kama haufanyii maabara, ndiyo maana unaona hesabu za leo wamemodify sana kuliko huko zamani kwani waliogundua hawakwenda step by step kama leo hii, hata baadhi ya mambo ya technolojia, leo watu wamepeleka mbali zaidi haswa mawasiliano.

Acha propoganda wewe, yeye mwenyewe kaelewa nilikua namaanisha nini ndo mana katoa like...kugundua kitu lazima kuwe na steps and it is should be shared worldwide c o uchawi kushare knowledge na kama ume copy na ku paste somewhere u have to acknowledge source to avoid plagiarism..Nakushauri bichwa lako litumie kudadisi na kuhoji mambo au rudi dalasani kama vipi!
 
Acha kukariri elimu ya madesa kugundua kitu, mara nyingi huwa hakuna steps haswa kama haufanyii maabara, ndiyo maana unaona hesabu za leo wamemodify sana kuliko huko zamani kwani waliogundua hawakwenda step by step kama leo hii, hata baadhi ya mambo ya technolojia, leo watu wamepeleka mbali zaidi haswa mawasiliano.
Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...
 
Hivi unadhani kila kitu kinagunduliwa kwa steps, nishakwambia labda ugunduzi wako ufanyikie maabara lakini kama ni kwingine huwa hakuna steps. Mfano leo hii ukawa unatembea ukaokota jiwe lenye madini mabayo hayajawahi kugunduliwa duniani, utauta ugunduzi wako ulikuwa wa kufuata steps?

Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...
 
Elimu kuhusu asali imeshushwa na alie uumba hii dunia, karne ya saba kwake muhammad(s.a.w). Na inanithibitishwa kwenye nyumba za waumini huwezi kosa asali.
Allah amesema hivi katika Wiesn tukufu
THE MIRACLE OF HONEY

Your Lord revealed to the bees: "Build dwellings in the mountains and the trees, and also in the structures which men erect. Then eat from every kind of fruit and travel the paths of your Lord, which have been made easy for you to follow." From inside them comes a drink of varying colours, containing healing for mankind. There is certainly a Sign in that for people who reflect. (Qur'an, 16:69)

Honey is a "healing for men" as stated in the verses above. Nowadays, apiculture and bee products have opened a new branch of research in scientifically advanced parts of the world. Other benefits of honey may be described as below:

Easily digested: Because sugar molecules in honey can convert into other sugars (e.g. fructose to glucose), honey is easily digested by the most sensitive stomachs, despite its high acid content. It helps kidneys and intestines to function better.

Rapidly diffuses through the blood; is a quick energy source: When accompanied by mild water, honey diffuses into the bloodstream in seven minutes. Its free sugar molecules make the brain function better since the brain is the largest consumer of sugar. Honey is a natural composition of sugars like glucose and fructose. According to recent research, this unique mixture of sugars is the most effective means to remove fatigue and increase athletic performance.
 
Back
Top Bottom