Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Nimeipenda hii kitu nilikua nishaacha pombe ila huo mvinyo haina bahati Dompo kwenda mbele
Pombe (kilevi) huua hisia za kutaka tendo la ndoa. Kama ukiendekeza kilevi hakitii stimu kama wengi wanavyoamini
 
Dah....hivi hakuna mambo mengine ya maana kufanya zaidi ya sex?...nguvu ....nguvu....kwani mnalipwa? Tafuteni basi na nguvu za kufanya mambo bana [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Dah....hivi hakuna mambo mengine ya maana kufanya zaidi ya sex?...nguvu ....nguvu....kwani mnalipwa? Tafuteni basi na nguvu za kufanya mambo bana [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Ujumbe kwenye mada kuu ni ubora wa vyakula hivyo kwa afya yako, sex ni kichocheo tu ili uondokane na vyakula visivyo na tija. Ukiwa na afya njema utamudu kazi zako za maendeleo. Kilevi ni sumu
 
Dah....hivi hakuna mambo mengine ya maana kufanya zaidi ya sex?...nguvu ....nguvu....kwani mnalipwa? Tafuteni basi na nguvu za kufanya mambo bana [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Mengine yanaitwa uchochezi na kuhatarisha usalama wa nchi. Hatuna m7, kitaa hali ngumu buku 5 kwa wiki
Bora tujadili migegedo tuimarishe ndoa zetu.
 
Habari wakuu,

Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni utajiri wa virutubisho,madini na uwezo wa kutibu magonjwa mara mbili zaidi ya asali ya kawaida!

Miongoni mwa maradhi yanayotibika kwa asali ya nyuki wapole/wadogo ni MAGONJWA YA MOYO hasa MOYO ULIOPANUKA!

mtoto mdogo aliyezaliwa na moyo mpana,wenye tundu alipona kabisa kwa kutumia tiba hii, nami nikiwa miongoni mwa waliokuwa na shida ya moyo kupanuka naendelea na tiba hii na nakiri kuona maajabu kwa asali hii!

Faida zaidi ni kuongeza kinga ya mwili,kuboresha mzunguko wa damu,kuondoa lehemu mbaya(LDL-cholesterol) kupunguza unene/uzito,shida ya kukosa usingizi,matatizo ktk mfumo wa chakula,kupunguza maumivu wakati wa hedhi,kuimarisha ubongo,matatizo ya mfumo wa upumuaji(kikohozi,mafua,pumu) n.k

Virutubisho vilivyojaa katika asali ya nyuki wadogo ni pamoja na vitamini A,B1,B2,B3,B5,B6,B8,B9,B12 na vitamini C. Madini Calcium,Magnesium,Potasi,Chuma na Zink pamoja na kiasi kidogo cha protini na hormone.

Kwa shida zote za afya,na kwaajiri ya afya, tumia kijiko cha chai cha asali hii asubuhi na jioni

Tanbihi: bei yake ni mara tatu ya bei ya asali ya kawaida kwasababu hutumika zaidi kwa matibabu.
 
FAHAMU KUHUSU ASALI (DODOMA ASALI PRODUCT)

shutterstock_129600581.jpg

Tambua ya kuwa asali ya nyuki wadogo ndio asali yenye virutubisho maradufu kuliko ya nyuki wakubwa, ni asali ambayo inatibu magonjwa zaidi ya mia moja kutokana na virutubisho vyake mwilini.

1. Ukitumia asali mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye kinywaji hiki maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).

2. Ukilamba asali, utajipatia kiasi cha kutosha cha protini na vitamin B1, B2, B3, B5, A1, na C, virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ustawi wa afya ya mwili wako kwa ujumla.

3. Ulaji wa asali huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya asali kuna virutubisho vya amino acids¡ ambavyo ni muhimu mwilini.

4. Ukilamba asali, mwili utapata nguvu na kukuondolea uchovu ndani ya nusu saa tu, kwa sababu asali ina virutubisho vya sukari asilia kama vile glucose¡, sucrose¡ na fructose¡.
Ili kupata faida zaidi za asali, changanya na maziwa fresh kisha kula. Unapojisikia mchovu, badala ya kunywa vinywaji baridi vinavyodai kuongeza nguvu, kula asali, hata kiasi cha vijiko tatu kinatosha.

5. Asali ina madini pia aina ya potassium¡ na kiasi kidogo cha chumvi (sodium). Madini haya husaidia uimarishaji wa mishipa ya fahamu. Watafiti wamegundua kwamba ulaji kiasi wa potassium huweza kumuepusha mtu na kupatwa na kiharusi (stroke). Pia Asali husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mwilini (LDL Cholesterol).

6. Kwa wale wenye matatizo ya ugonjwa wa kukauka damu mwilini (anemia), wanaweza kupata ahueni kwa kula Asali/ tende kwa wingi ambayo ina kiwango cha kutosha cha madini ya chuma ambayo huhitajika katika utengenezaji wa damu mwilini. Wakati vitu vitamu vingine huozesha meno, utamu wa tende huzuia uozaji wa meno.

7. Kwa tatizo sugu na la muda mrefu la ukosefu wa choo, changanya asali na mdalasini kisha lamba asubuhi kabla haujala kitu chochote na mchana kabla ya kula na usiku kabla ya kula pia na kabla ya kulala

8. Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha. Asubuhi, zisage tende hizo kwenye maziwa hayo hadi zichangayike, kisha weka asali kiasi cha vijiko vitatu au vinne vikubwa pamoja na unga wa hiriki, kiasi cha nusu kijiko kidogo. Kisha kunywa mchangayiko huo kila siku hadi utakapoona mabadiliko ya kuridhisha.

9. Asali ni dawa ya unene, kwa wale wenye matatizo ya wembamba wa kupindukia na wanataka kuongeza uzito, ulaji wa tende asali kila siku unaweza kuwasaidia. Lakini hii ina maana kwamba, wale wanaohitaji kupunguza uzito, ulaji wa tende kwa wingi hauwezi kuwafaa. Pia Asali husaidia uondoaji wa kilevi mwilini.

10. Asali inatibu saratani ya tumbo. Habari njema kuhusu Asali kama tiba ni kwamba, haina madhara yoyote kwa sababu ni dawa asilia na inafanyakazi vizuri kuliko dawa
za kizungu¡. Asali vile vile ina imarisha nuru ya macho na tatizo la kutokuona usiku (night blindness).

HAKIKISHA ASALI IWE MBICHI NA HAJACHANGANYWA NA KITU CHOCHOTE (HAIJACHAKACHULIWA)
MIMI NAUZA ASALI ILIYOPIMWA NA MASHINE BAADA YA KUINUNUA TOKA KWA WAKULIMA. NIKIKUUZIA PIMA NA KIBERITI KWENYE MAJI KWENYE MCHANGA UTAIKUTA SAFI, NA IMECHIJWA PIA KWA MASHINE.
UKINUNUA NITAKUPA MAELEZO ZAIDI KUHUSU TIBA HII MMBADALA.
 
Attachments

  • IMG_20170510_075044.jpg
    IMG_20170510_075044.jpg
    55.7 KB · Views: 1,334
  • IMG_20170509_204052.jpg
    IMG_20170509_204052.jpg
    92 KB · Views: 412
  • Thanks
Reactions: Pep
FAHAMU KUHUSU ASALI (DODOMA ASALI PRODUCT)

View attachment 508514

ASALI MBICHI YA NYUKI WAKUBWA LITA MOJA NI ............... 12,000/=
ASALI MBICHI YA NYUKI WADOGO LITA MOJA NI ...................20,000/=
Bei hizo kwa kuwa asali ni GRADE 1, Mbichi na salama , pia mteja nampelekea popote alipo, nyumbani sokoni, kazini popote alipo kwa MKOA WA DODOMA.
MIKOA MINGINE NATUMA KWENYE BUS UNAKWENDA KUPOKEA STENDI
CONTACT NI
0712385672
0757915043
JIPATIE ASALI POPOTE ULIPO UKOWA NDANI YA MAKAO MAKUU DODOMA
USISAHAU Ku- share ili elimu hii iwafikie watu wengi zaidi. Akhsanteni

View attachment 508513
414938-13fc382f4098e23c50b9fa604ef90a76.jpg
View attachment 508515 View attachment 508513
mkuu si ndo ile inayoganda
 
HIVI JAMANI ASALI INAOZA?
Habari za muda huu wana-JF!

ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, imedhihirika kwamba, uwezo wa asali kutibu unaweza kuongezeka
maradufu kama itachanganywa na mdalasini.

Aidha, uchunguzi wa kila wiki unaofanywa na jarida la World News kuhusu tiba unasema, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea,imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na
mdalasini katika kujenga afya bora.

Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta ya vuguvugu ya mzaituni, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork.

Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15. Kwa mujibu wa watafiti wa madawa tiba, Dk Alexander Andreyed na Eric Vogelmann, madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta mwilini yanaweza kudhibitiwa kwa kiasi kikubwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai iliyoungwa kwa kutumia mchanganyiko wa asali na mdalasini.

Ugunduzi wao huo, uliyakinishwa vema kwenye jarida mashuhuri linalozungumzia masuala ya tiba la nchini Denmark la Julai 1994. Uchunguzi mwingine pia umeonesha kwamba matumizi ya kila siku ya asali yanapunguza viwango vya lehemu mwilini.

Asali inatajwa pia kuwa dawa ya jino, inaponya pia ngozi iliyoharibika, ni dawa asilia ya shinikizo la juu la damu ni kiungo muhimu katika utengenezaji wa asilimia kubwa ya madawa mmimiko na asilimia kubwa ya vipodozi na mafuta ya kupaka.

Ugonjwa wa mafua ambao huwakera na kuwanyima watu wengi raha imegundulika na wataalamu kwamba hupungua na kupotea kabisa ikiwa watatumia kijiko kimoja cha chai cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko cha chai cha mdalasini. Mtafiti mmoja wa Hispania imethibitisha kwamba, aina ya dawa moja asilia iliyofanikiwa kuharibu vimelea viletavyo mafua ilitengenezwa kwa kiwango kikubwa na asali.

Mchanganyiko huo pia ni mahususi katika kusaidia kupunguza na kuondoa chafya na kuvimba kwa koo. Asali inaaminika pia huamsha hamu ya tendo la ndoa. Wale ambao mambo katika eneo hilo si mazuri wanashauriwa angalau kunywa vijiko viwili vya mezani kila siku kabla ya muda wa kulala usiku. Kuna wakati asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za Mashariki mwa dunia ili isiwe sababu ya kuwaongezea mihemko.

Asali inaaminika kuwa dawa ifaayo katika kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na kichefuchefu. Ukiwa katika kadhia hiyo, unashauriwa kuongeza kiasi kidogo cha mdalasini na asali kwenye chai ama maji, itapunguza hali hiyo na maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.

Utamaduni wa kula asali pamoja na mdalasini, huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi uliofanywa huko India na Japani kwa miaka mingi. Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia, mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara wakati wa kifungua kinywa.

Kula mkate uliopakwa asali kijiko kimoja cha mezani kila siku nyuzi nyuzi zake ni muhimu pia kiafya. Tiba hii, iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa asilimia 74 ya wagonjwa waliofanyiwa utafiti. Shinikizo la damu, pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa Kiitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali iliyochanganywa na mdalasini.

Kinga ya mwili, itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja, wataalamu wanasema. Utafiti wa kitiba unaonesha kwamba, asali ina hazina kubwa ya virutubisho na madini pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga, itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea virusi na bakteria. Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo, huondoa kiungulia pia. Inasemekana kuwa, unaweza kuishi hadi miaka 100 ukifurahia maisha ya afya bora na madhubuti kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai iliyowekwa mdalasini na asali.

Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vinne vikubwa vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10, kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne, watafiti wanasema.

Asali ni tiba rafiki na asilia kwa watu wenye shida ya chunusi. Ili kutibu tatizo hilo watafiti wanasema changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja mdalasini na pakaa kwenye chunusi.

Uwezo wa asali wa kuua bakteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili pekee. Asali, wanasema inairudisha ngozi iliyoharibiwa na wadudu waharibifu kama dondola, washawasha na hata ngozi iliyopata madhara kutokana na kuungua moto. Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi uvimbe unapotoweka.

Utafiti uliofanywa karibuni nchini Australia na Japan, umeonesha kuwa, asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa kwa mtu anayetumia madawa ya kutibu saratani. Katika utafiti uliofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa saratani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionesha kupata nafuu maradufu kuliko wale waliokuwa wakitumia madawa ya saratani pekee. "Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi," anasema Dk Hiroki Owatta. Upo ushahidi mpya kwamba, sukari asilia zilizopo kwenye asali, zina uwezo wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu.

Wataalamu wanapendekeza kuchanganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji kisha nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9:00 alasiri wakati nishati (nguvu) inapoanza kushuka," anashauri Dk Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.

Asali inao uwezo mkubwa wa kupunguza na kuponya miguu iliyopasuka kwenye kisigino. Chua asali na mdalasini vuguvugu katika miguu au nyayo zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu. Rudia kila siku asubuhi halafu, osha nyayo zako kwenye maji baridi na vaa viatu.

Baadhi ya watu Marekani ya Kusini, wanasukutua maji ya vuguvugu yaliyowekwa asali na mdalasini kila asubuhi ili kufanya harufu mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya Kusini Mashariki, watu hutumia kijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni (halitosis).

Wataalamu wanaamini kwamba, uwezo wa kuua bakteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni. Dozi za kila siku za asali na mdalasini, hufanya hali ya usikivu murua kwa wanafunzi wawapo darasani au viongozi mkutanoni kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani. Hiyo ndiyo asali. Ni chakula na dawa. Lakini inayozungumzwa hapa ni asali mbichi ambayo inapatikana kwa wingi Tanzania, lakini tatizo kubwa ipo pia feki inayouzwa kama mbichi!

Kwa hisani ya AFYA.KWANZA

=============

Toafauti ya asali ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

Asali za NYUKI WAKUBWA na WADOGO zina tofautiana katika mambo kadhaa na hvyo ni muhimu kujua tofauti hizo kabla hujanunua ili kua na uhakika.

NYUKI WADOGO
1. Ni nyepesi zaidi kwani ina kiwango cha maji kuanzia asilimia 24

2. Ina ladha ya UCHACHU ingawa ni tamu sana.
3. Mara nyingi ina rangi ya KAHAWIA ILIYOKOLEA inayoenda kwenye WEUSI

NYUKI WAKUBWA
1. Ni nzito kuliko ya nyuki wadogo kwani ina kiwango cha maji kuanzia asilimia 17 hadi 20.

2. Ni tamu moja kwa moja bila kua na ladha ya uchachu kama nyuki wadogo
3. Ina rangi nyingi kuanzia NYEUPE, NYANO, KAHAWIA ILIYOPOA, KAHAWIA ILIYOKOZA n.k

Hizo ni tofauti za muhimu kuzijua kwani zitakuwezesha kupata asali unayoitaka na kuepuka usumbufu.
[/QUO
 
Hivi naomba msaada hivi bawasili inasababishwa na nini? na dawa yake ninini>?? kwani kuna rafiki yangu anasumbuliwa sana na huo ugojwa
695px-M_44_anus_22.jpg

Bawasiri ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba sahihi. Bawasiri au hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

Kuna aina mbili za Bawasiri
Nje: Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

Ndani: Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili.

Aina hii imegawanyika katika mainisho yafuatayo:
Daraja I- Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
Daraja II- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja III- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya tukio hilo.
Daraja IV- Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya tukio hilo.

Je bawasiri husababishwa na nini?
Bawasiri husababishwa na;

    • Tatizo sugu la kuharisha
    • Kupata kinyesi kigumu na kinyesi wakati mwengine kutokwa damu kisha ndio kupata kinyesi
    • Ujauzito
    • Uzito kupita kiasi (obesity)
    • Kupenda kufanya ngono ya njia ya haja kubwa (anal sex)
    • Kwa ujumla mambo yanayo ongeza shiniko katika tumbo.
    • Umri mkubwa
Dalili za bawasiri
    • Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia (hematochezia)
    • Maumivu au usumbufu
    • Kinyesi kuvuja
    • Kijiuvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
    • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
    • Kujitokeza kwa kinyama (bawasiri) wakati wa haja kubwa

Matatizo yanayoweza kutokana na Bawasiri
786813_f260.jpg

Vipimo na uchunguzi
    • Digital rectal examination
    • Kipimo cha njia ya haja kubwa (Proctoscope)
    • Kipimo cha utumbo mpana (Sigmoidoscope)
Matibabu
Matibabu hutegemea na hali na aina ya Bawasiri
    • Rubber band ligation - Hapa mishipa hufungwa na rubber band ili kuzuia damu kwenda kwenye eneo liloathirika, na hutumika kwenye aina ya ndani ya bawasiri.
    • Sclerotherapy- Hapa kemikali huwekwa kwa njia ya sindano
    • Coagulation (infrared, laser and bipolar)
    • Upasuaji;
      • Hemorrhoidectomy
      • Stapled hemorrhoidopexy
Njia za kuzuia Bawasiri
    • High fibre diet, kula mboga za majani, matunda, na nafaka kwa wingi.
    • Kunywa maji ya Uvuguvugu mengi kwa siku (glasi sita hadi nane kwa siku)
    • Punguza kukaa kwa muda mrefu sana hasa ukiwa chooni, kwa sababu unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa.
    Tiba Ya Asili ya Bawasiri ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom