Matumizi na ulazima wa kuwa na EFD, je, hata vyangudoa wanayo na wanatoa risiti?

Matumizi na ulazima wa kuwa na EFD, je, hata vyangudoa wanayo na wanatoa risiti?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.

Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na wakopeshaji ambayo huishia kuhomolewa na kuhondomolewa na majizi yaliyounda serikali?

Je, wauza pombe za kienyeji nao wanatoa risiti?
Kwanini wala rushwa nao wasiwe na EDFs na kutoa risiti wanapopokea fedha au rushwa siyo kipato?

Je, Samia anapomwaga mafweza huwa wapokeaji wanatoa risiti?
Hii EDF ni wizi uliohalalishwa na wezi kuwaibia wachovu.
Je, wewe unasemaje?
 
Muombe makonda na wawakilishi wa znz wafike nevada,karibiani,dubai ila waende kujifunza sio kuja ya razaro nyarandu kumpeleka ex mose yobo USA.

Kumbuka Urusi ina biashara ya machangudoa na asili yake kaenda kujifunza samia kwenye kundi la guchi
 
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.

Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na wakopeshaji ambayo huishia kuhomolewa na kuhondomolewa na majizi yaliyounda serikali?

Je, wauza pombe za kienyeji nao wanatoa risiti?
Kwanini wala rushwa nao wasiwe na EDFs na kutoa risiti wanapopokea fedha au rushwa siyo kipato?

Je, Samia anapomwaga mafweza huwa wapokeaji wanatoa risiti?
Hii EDF ni wizi uliohalalishwa na wezi kuwaibia wachovu.
Je, wewe unasemaje?
ulafa ni mzigo mzito sana aise gentleman,dah 🤣
 
This is something good, kila mtu anayepata kipato kwa kufanya biashara yoyote, lazima atoe risiti na alipe kodi na huu sasa ndio wakati muafaka wa kutekeleza ushauri wangu huu Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana

P

Hapo kwenye bangi, hujafikiria athari zake kwa vijana. Wakati dunia inaelekea kulitabua tatizo la afya ya akili "mental health issue" kama suala mtambuka "Cross-cutting issue" duniani. Wewe untaka bangi iwe ihalalishwe?
Do your homework Pasco, afya ya akili kwa vijana (18-35) ni janga kubwa kwa sasa.
 
Who should do it better wewe au yeye? Ameongelea bangi.

Ingekuwa na madhala kama unavohisi au unavodhani, hii kitu isingeruhusiwa kutumika maeneo mbalimbali duniani.

Kwa usichokijua hiyo kitu inavutwa sana ,nadhani kwa sifa mbaya mnazoipa
robo ya dunia tungekuwa vichaa.

Hayo matatizo ya akili yapo tu na case nyingi husababishwa na historia ya maisha ila vilevi n.k huja kama kiokoa jahazi kwa mhanga (comfort zone yake).

Mtu kakimbiza pikipiki, bangi.
Mtu kakwapua simu, bangi.
Mtu anaokota makopo, bangi.
Mtu ana hasira, bangi.
Mtu anafuraha kupita maelezo, bangi.
Mtu mmepushana kauli/mitazako, bangi.
Kiufupi huo mmea unaonewa.

I stand to be corrected
 
Naona Sasa hivi wameanza kugawa TIN number kilazima.
Tin number ninayo japo sio ya biashara.nashangaa Jana wamenitumia nyingine kwenye email.nimewauliza unakuwaje niwe na tin number mbili.nasubiri majibu hapa.
 
Back
Top Bottom