Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
ulafa ni mzigo mzito sana aise gentleman,dah 🤣Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na wakopeshaji ambayo huishia kuhomolewa na kuhondomolewa na majizi yaliyounda serikali?
Je, wauza pombe za kienyeji nao wanatoa risiti?
Kwanini wala rushwa nao wasiwe na EDFs na kutoa risiti wanapopokea fedha au rushwa siyo kipato?
Je, Samia anapomwaga mafweza huwa wapokeaji wanatoa risiti?
Hii EDF ni wizi uliohalalishwa na wezi kuwaibia wachovu.
Je, wewe unasemaje?
This is something good, kila mtu anayepata kipato kwa kufanya biashara yoyote, lazima atoe risiti na alipe kodi na huu sasa ndio wakati muafaka wa kutekeleza ushauri wangu huu Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize MarijuanaJe, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti?
This is something good, kila mtu anayepata kipato kwa kufanya biashara yoyote, lazima atoe risiti na alipe kodi na huu sasa ndio wakati muafaka wa kutekeleza ushauri wangu huu Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
Who should do it better wewe au yeye? Ameongelea bangi.Hapo kwenye bangi, hujafikiria athari zake kwa vijana. Wakati dunia inaelekea kulitabua tatizo la afya ya akili "mental health issue" kama suala mtambuka "Cross-cutting issue" duniani. Wewe untaka bangi iwe ihalalishwe?
Do your homework Pasco, afya ya akili kwa vijana (18-35) ni janga kubwa kwa sasa.
LegendThis is something good, kila mtu anayepata kipato kwa kufanya biashara yoyote, lazima atoe risiti na alipe kodi na huu sasa ndio wakati muafaka wa kutekeleza ushauri wangu huu Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P