Salama ndugu,
Kuna mwalimu ana project ya kufuga kuku wa biashara kwenye nyumba ya shule,
Usiku wa jana tukiwa kwenye mechi,
Paka watatu wa mwalim aliye nyumba jirani kala vifaranga/kuku wenye thaman ya sh laki 5 na zaid.
Kwa sasa kuna kesi,
Naomba msaada wa kisheria khs kuamua hiyo kesi.