Matumizi Nyumba za Serikali

Matumizi Nyumba za Serikali

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Salama ndugu,
Kuna mwalimu ana project ya kufuga kuku wa biashara kwenye nyumba ya shule,
Usiku wa jana tukiwa kwenye mechi,
Paka watatu wa mwalim aliye nyumba jirani kala vifaranga/kuku wenye thaman ya sh laki 5 na zaid.
Kwa sasa kuna kesi,
Naomba msaada wa kisheria khs kuamua hiyo kesi.
 
Ndugu wanasheria,
Naomba mje muokoe hatari?
 
Duh wanasheria hawakutokea vipi kesi iliishaje? Halafu nawe ilikuaje ukafuga kwenye nyumba ya serikali hivi wanaruhusu?
 
Back
Top Bottom