Matumizi sahihi ya 'android smartphone' yako

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Wote humu JF tunatumia smartphone nyingi ni zile zenye android systm na nyingine nying ni ukweli kuwa simu zetu zinatofautiana sana uwezoo katika kufungua mafile na vingine vingi pia wapo wanao tumia computer hasa pc sasa niende kwenye mada

Najua hii kidogo itasaidia hasa kipindi hiki cha vyuo na vingine vingi kuna watu wengi wana lalamika kuwa wanashindwa kuona majina ya chuo walicho chaguliwa kwasababu simu zao hazina uwezo wa kufungua PDF FILE kuepuka hilo mm ningeomba tu uweze kwenda playstore udownload app inaitwa WPS office hii app ni bure na itakusaidia kufungua file na matangazo yote utakayo weza kudownload hii itaepusha usumbufu wa kuomba mtu fulani akuangalizie jina fulabi au kitu fulani... hivyo mimi ningeomba kwa wale ambao mnashindwa kufungua file zenu za pdf mdownload hiyo kitu kwa upande fulani itasaidia

Kitu kingine ni hiki mtu anaweza sema chuo fulani wametoa majina au kitu fulani utakuta mtu anasema weka link au nitaonaje hicho kitu? Mimi nikwambie kitu ukisikia kitu hicho atakuwa amekusaidia wewe cha kufanya nenda google andika jina la taasisi au chuo tajwa halafu search mambo zitatokea pale click jina la chuo litakalo kuwa limetokea pale ikifunguka unakuwa umefungua moja kwa moja website husika na utaona mwenyewe kwa macho yako kama mtu ana nyongeza aweke pia tusaidiane

Tusipende sana kila kitu kutafuniwa hasa katika ulimwengu huu wa science na technologia...mimi naamini smartphone yako inakila kitu so hapo itasaidia sema ni utundu tu wa mtu kuna jukwaa la science na tech humu ukijaribu kupita na kule tutapat vingi hebu tujaribu kuwa wadadisi

Mimi yangu ni hayo kama nimekujwaza samahani na kama una cha kuongeza au kusema karibuniii...naamini hiyo app ya aina hiyo haipo moja karibuni kama nyingine unaifahamu uitaje tusaidiane

KARIBU
 
Adobe reader ndo habari ya town. Hata file liwe na mb 10.
 
Ushauri mzuri, hasa kwenye kuwa wadadisi badala ya kusubiri kutafuniwa.
 
AISEE Safi sana kk....maana watu walizd aisee....kila mtu link link
 
Dah..umetoa somo zuri.Mimi ni mmoja ya niliokua nashndwa kufungua coz inasema file can not oppened
 
iyo adobe reader naipataje?

Kuna mtu angalia juu hapo kaweka link ili uweze ku download kama ukishindwa nenda kwenye playstore ya cm ako den free apps halafu search hilo jina adobe reader watakuletea apps nying download hiyo moja ya kwanza kabisaaa hapo utakuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…