Matumizi sahihi ya BAKORA na MASHINE....ni vifaa vinavyopaswa kutunzwa sana.

Matumizi sahihi ya BAKORA na MASHINE....ni vifaa vinavyopaswa kutunzwa sana.

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
836
Reaction score
50
Ngd wanajamvi ashakum si matusi ila naomba nitoe kidogo mawazo yangu juu ya matumizi sahihi na salama ya BAKORA na MASHINE.

Nikianzia na Bakora-

Sote tunajua kuwa bakora ni kifaa kinachotumika sana sehemu mbalimbali, bakora hutumika kuchapa, kutembelea na hata kuua nyoka.

bakora ni kifaa imara na si rahisi kukipindisha na hata kuivunja si kazi rahisi.

bakora inaweza chapa maji yakatawanyika, bakora inaweza simikwa ardhini, ktk tope n.

bakora inaweza kurushwa na kulenga ndege au mwana tetere na kumtungua juu ya mti na mtu akapata kitoweo.

bakora inaweza msaidia mzee kutembelea, bakora pia hunyooshewa watu na wakarudi nyuma.

bakora haitakiwi kurushwa ktk umati mkubwa wa watu, maana inaweza kuwadhuru watu bure,

Kweli bakora ina kazi nyingi ila ni kifaa cha kutunza sana maana inasaidia sana ktk masha yetu ya kila siku.

sasa Mashine;

ukweli mashine sote tunazijua, zipo mashine za kila aina na kuzitaja humu hatuwezi kuzimaliza.

kwa ucchache tu, zipo mashine za kusaga, kukoboa, kunyolea nk.

mashine zina kazi kubwa sana, lakini huhitaji utunzaji wa hali ya juu.

mashine nyingi zina muungurumo kuanzia ule wa sauti kUbwa, kelele, na nyingine hulia kisasi tu, km shhhhh, km vile upepo tu unapuliza.

mashine nyingine huhitaji oil ili kuzilainisha, nyingine hutumia hata maji kuzipoza n.k
utunzaji wa mashine huzifanya ziendelee kutumika muda mrefu kwa faida ya watumiaji.

baadhi ya mashine zisipotunzwa huanza kuvuja maji au oil, na nyingine hunoki kabisa.

KWELI BAKORA NA MASHINE NI VIFAA MIHIMU SANA INAFAA KUVITUNZA NA KUVITHAMINI.

tuzingatie matumizi bora na sahihi ya bakora na mashine.
 
ALAFU NYIE MNAO TOA USHAURI NDO UTAKUTA MASHINE AU BAKORA ZENU HAMTUNZI KABISAA! Kama ni bakora utakuta imekushnei na kama ni Mashine basi inavuja OIL.
 
Back
Top Bottom