Matumizi sahihi ya body splash, body spray na perfume

Mkuu hayo ni machache sana na kuna mengine cjaorodhesha, hlf elewa mtoa mada kaomba kuelekezwa, we kama unahic hapakufai n bora upite tu
OK mkubwa sijapanic sema umenielewa vibaya nimeshangaa mambo uliyotaja, sorry kama nimekuudhi
 
Unatumia muda gani kufanya yote hayo?
kweli sisi wengine hatunaga swaga.
 
Ivi me nipo sayari gani wandugu.....mi nshazoea babycare ndio nshamaliza kila kitu naingia mtaani...yan kuna vitu ntaulizwa mbinguni nishangae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daah. Unatoa wapi muda huo
 
Mmh vitu vyote hivyo unajipulizia..!? Utakua unanukia kama pilau..
 
Habari zenu warembo na watanashati,

Nilikua naomba kujua jinsi ya kutumia hivi vitu vitatu je, body splash, body spray na perfume vinatumikaje kila kimoja.

Naomba kujuzwa namna sahihi i hope na wengine watajifunza.

Karibuni
Perfume unapulizia katika nguo,body spray inatumika katika mwili kuweka haruf nzuri sana sana inatumika makwapani kuleta haruf nzry mda wote,na body splasher ni kama body spray unapaka mwilin ila harufu yake aichuki masaa,hua inapotea mara moja,ni kama refresher ya mwili tu ,inakua na haruf nzry but haidumu inapotea.kuna zile splash zipo ktk vichupa vyake sio mfumo wa spray unaweka ktk mikono then ndio unajipaka mwilin,na kuna zile mfumo wa spray.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…