Matumizi sahihi ya pesa, a.k.a mtonyo!

Matumizi sahihi ya pesa, a.k.a mtonyo!

savo

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
293
Reaction score
233
Daah! Kwakweli nimeamini ukilewa unatumia pesa vizuri.

Unaposess 0- hasubuhi strees tupu.
 
Kidato cha nne na kidato cha pili jamani wapo nyumbani kwa sasa kwaiyo tuvuliane wadau ndio hali harisi kwa sasa
harisi-halisi
ingependeza tujue na wewe upo kidato cha ngapi mkuu!
 
Kidato cha nne na kidato cha pili jamani wapo nyumbani kwa sasa kwaiyo tuvuliane wadau ndio hali harisi kwa sasa
Ivi tuisheni ndalichako amezifuta ama bado zipo,kama vipi tumshauri azirudishe manake hata huku kitaa ni usumbufu tu,vijana kazi yao ni kubeti na starehe tu
 
Think twice@kwani kidato kina kipimo cha ulevi
 
Back
Top Bottom