Hayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?
Ukiona hivyo ujue elimu kwa sasa siyo dili, hiyo sector inapaswa kuboreshwa na katika ufundishaji. Na katika maboresho muda wa masomo ipunguzwe, kama degree inachukua miaka 3, sasa iwe miaka 1. Waache kuwa wanawapa maswali mbuzi ambayo tayari AI anafanya.
Mfano, ATM za bank zilipofungwa, tellers wengi walikuwa replaced, ila hao tellers lazima walipata kazi zingine maana walikuwa useless.
Wanafunzi kuliko kukaa darasani na kukariirishwa ujinga, ni bora waende shambani walime kilimo cha kisasa, kazi ambayo AI haiwezi fanya.