Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Soma wewe wacha kutegemea Robboti.Mimi sisemei secondary nasemea chuo kikuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma wewe wacha kutegemea Robboti.Mimi sisemei secondary nasemea chuo kikuu
AiseeNakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili taifs mbeleni watazalishwa wasomi hewa [emoji1][emoji1][emoji1]
Kingereza nakichapa fresh tu mbn both speaking and writing mkuu, kikubwa nikuedit some cumbersome words[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa Mhadhiri anaesoma na kujua kazi yake hutatoboa mana Kiingereza cha mwanafunzi kinaeleweka!
Uchumi utaporomokaje ikiwa AI yenyewe inaweza kukupa alternatives na majibu fasaha kuhusu uchumi. Hapo ni sawa useme kwamba ukitumia calculator kufanya pure mathematics, huwezi kuwa mwana mahesabu mzuri, Ambayo siyo ukweli.Hio anasababisha wasomi wasioelewa maana mtu aliesoma kitumia AI tu hasa kozi za economics uchumi wa nchi lazima uporomokeee[emoji1][emoji1][emoji1]
Ni maendeleo tutaishi humo bila ya wasiwasi...Miaka hiyo watu walikuwa wanakosoa simu za touch ila leo za button zimepotezwa.Hayo ni maendeleo na wala siyo kudumaza akili. Kwani zilizogunduliwa calculator akili zetu zilisimama?
Ukiona hivyo ujue elimu kwa sasa siyo dili, hiyo sector inapaswa kuboreshwa na katika ufundishaji. Na katika maboresho muda wa masomo ipunguzwe, kama degree inachukua miaka 3, sasa iwe miaka 1. Waache kuwa wanawapa maswali mbuzi ambayo tayari AI anafanya.
Mfano, ATM za bank zilipofungwa, tellers wengi walikuwa replaced, ila hao tellers lazima walipata kazi zingine maana walikuwa useless.
Wanafunzi kuliko kukaa darasani na kukariirishwa ujinga, ni bora waende shambani walime kilimo cha kisasa, kazi ambayo AI haiwezi fanya.
Yah, AI ni tool kama tools zingine kama simu, ATM, calculator, Google, social media, etc. Tools zote zipo ili kurahisisha maisha ya mwanadamu. Tusiogope kuzitumiaNi maendeleo tutaishi humo bila ya wasiwasi...Miaka hiyo watu walikuwa wanakosoa simu za touch ila leo za button zimepotezwa.
Creativity and innovation hakuna utabaki kuitegemea tu AIUchumi utaporomokaje ikiwa AI yenyewe inaweza kukupa alternatives na majibu fasaha kuhusu uchumi. Hapo ni sawa useme kwamba ukitumia calculator kufanya pure mathematics, huwezi kuwa mwana mahesabu mzuri, Ambayo siyo ukweli.
Mazombi yanayotoa ulimi nje na kukatika miuno wkt wenzao kila siku wanafny mapinduziHaya mambo yanavyokua yanaletwa ,ni lazima Taifa lijiulize kama liko tayari au?.
Na kama liko tayari lkn haliwezi kukabiliana kwakua ni la lazima, je Taifa limejiandaaje??.
Wachina wanatumga Sheria itakayowabana Raia hususani watoto wa miaka chini yaiaka 18, kutumia Mitandao Jamii Kwa Masaa 2 tu Kwa Siku.
Bongo, watoto Masaa 24 wako mitandaon, kufikia 2050, TAIFA LITAKUA NA VIPOFU WENGI, VIPOFU WA MACHO, NA VIPOFU WA AKILI.
Yaani unachosema hapo hakina tofauti ya kusema, usipande gari tembea kwa miguu, Maana ukipanda gari utapata ajari na mwili wako utakosa mazoezi.Creativity and innovation hakuna utabaki kuitegemea tu AI
Hawezi kugundua labda uwe wa kucopy na kupaste mkuuu hapo mm nishawahi piga kozi work ya 40/40 kutumia AI tu[emoji1]
AI haina umuhimu wowote bongo labda kama akili zako zimelala chaliYaani unachosema hapo hakina tofauti ya kusema, usipande gari tembea kwa miguu, Maana ukipanda gari utapata ajari na mwili wako utakosa mazoezi.
Hizi ni mindset za kijinga na uoga , kama machine inaweza kufanya vizuri kwanini usitumie machine kurahisisha kazi?
AI haiwezi replace human being, human tutaendelea kufanya shughuli mbalimbali ambazo AI haiwezi kufanya.
Hujui unachokiongea. Inaelekea uelewa wako kuhusu AI ni mdogo.AI haina umuhimu wowote bongo labda kama akili zako zimelala chali